Najaribu kuyatafuta magazeti ya IPPMEDIA Online bila mafanikio yoyote. Je kuna yoyote anayefahamu kulikoni huko IPPMEDIA?
yah nafikiri tangu asubuhi au mchana usiku wa jana yalikuwa down..sie ni visitirs hadi usiku huu bado web haijaamka..may visitors ni wengi na hits/sec zimekuwa kubwa sana..
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us