Kulikoni IPPMEDIA?

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,005
Najaribu kuyatafuta magazeti ya IPPMEDIA Online bila mafanikio yoyote. Je kuna yoyote anayefahamu kulikoni huko IPPMEDIA?
 
yah nafikiri tangu asubuhi au mchana usiku wa jana yalikuwa down..sie ni visitirs hadi usiku huu bado web haijaamka..may visitors ni wengi na hits/sec zimekuwa kubwa sana..
 
yah nafikiri tangu asubuhi au mchana usiku wa jana yalikuwa down..sie ni visitirs hadi usiku huu bado web haijaamka..may visitors ni wengi na hits/sec zimekuwa kubwa sana..

Yaani huyu hits/sec amekuwa mkubwa kiasi cha kutoingia kwenye mtando? Si ajabu ndio maana haamki!:rolleyes:
Nimenotis hiyo dono waait iz goin on!
 
Pamoja na hayo ya IPP Gazeti la uhuru na habari leo nayo kwa siku nyingi sasa yametoweka kabisaaaaaa!!!!
 
The same to me,naona server itakuwa down.
Anyway technologia za watu izi,lets hope for the best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom