Kulikoni hapa?

Kulikoni hapa?

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Toa fasiri yako!
 

Attachments

  • OBAMA.jpg
    OBAMA.jpg
    31.4 KB · Views: 919
Malia anaogopa kumsumbua baba yake wakati anahudumia taifa kubwa. Pia hii inaonyesha rais wa Marekani alivyo family man ambaye hapotezi muda kwenye kuzurura kiasi cha watoto wake kumsahau na kujifanyia watakavyo kama jamaa yangu Njaa Kaya Chikwekwe.
 
Wakati wazee na mindevu yao wanamuita Rais au Commander in Chief, kuna wachache wanamuita baba na wanamtania km inavyoendelea...
 
Kwa wale waliosoma Management,
Ngazi ya uongozi inaanzia kwenye familia na hapa wasifu wa kiongozi bora hua unaonekana wazi.
 
Inapendeza kweli upo na watoto wako wanacheza...unapiga mzigo....katika mazingira mazuri kama haya... Good picture dude
 
angekuwa Njegele yuko juu kwenye ndege
 
Sasha wale am rais wenye mitoto mingi ikulu inakuwaje..is watakuwa wanakaa mpaka mezani
 
Malia anaogopa kumsumbua baba yake wakati anahudumia taifa kubwa. Pia hii inaonyesha rais wa Marekani alivyo family man ambaye hapotezi muda kwenye kuzurura kiasi cha watoto wake kumsahau na kujifanyia watakavyo kama jamaa yangu Njaa Kaya Chikwekwe.

Mkuu..., yap! Good analysis but hapo mwisho daah..!!! umekanyagia mbaya.., u made mi feel this.., ah ah ah ah.!!!
 
Malia anaogopa kumsumbua baba yake wakati anahudumia taifa kubwa. Pia hii inaonyesha rais wa Marekani alivyo family man ambaye hapotezi muda kwenye kuzurura kiasi cha watoto wake kumsahau na kujifanyia watakavyo kama jamaa yangu Njaa Kaya Chikwekwe.
Hapo kwenye red pokea Like fasta.:A S thumbs_up:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom