Ni kweli mikutano ya hadhara ya siasa imezuiliwa?

Uzi tayari.
1. Kihongosi amefanya mkutano Jana nadhani ni Mbagala.

2. CHADEMA wapo buzy mahakamani na kesi ya Mwenyejiti.

Nadhani nimekujibu.
 
Chama Cha siasa Tanzania ni kimoja tuu CHADEMA KAMA CHAMA HICHO HAKIJAFANYA MIKUTANO UNATEGEMEA KUONA CHAMA GANI SASA KINAFANYA MIKUTANO?
 
Yule kihongosi
Ukitoa neno heche na chadema hawezi kufanya mkutano wowote mana Hana Cha kuongea kabisa hii inatafakarisha kidogo
 
labda huko kwenu gentleman :1Head:
Kuna comment hapo ya Etwege huyu alikuwa chawa mzuri sana wa CCM kuliko hata wewe lakini sasa amegeuka alitajaria uchawa ungemlipa jifunze kwa hao
 
to me,
that's useless and completely very nonsense.

professional politician can never be used.
Professional politician discovers, projects, saws and shows political directions early before anyone saw it coming 🐒
 
Hauwezi kufanya siasa ndani ya CCM bila ya kuwa chawa wa mtu fulani.
Huko huko CCM mnawekeana sumu kwenye maji na vyakula.Ukikosoa wanakufukuza uanachama au kukuteka
 
Gentleman,
binafsi sifanyi siasa ndani au nje ya CCM au chama kingine chochote cha siasa unachokifahamu.

I'm professional politician of modern times. I have no time for petty politics na ndio maana hata uporomoshe matusi kiasi gani to me or to my comments, i don't care, because I know you don't have capacity to confront me politically and thus i always take easy.

mimi siwezi kufukuzwa popote coz ninajua vyema sayansi ya siasa, so hayupo wa kunifukuza wala kunikaribisha katika siasa hususani za vyama vingine 🐒
 
Professional yako wewe ni ushoger
 
Back
Top Bottom