Kulikoni Benard Membe?

Musiba ataita press conference ingine kumchafua Membe?
 
Sotoka inakusumbua,damu ya yule balozi lazima imtafune

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio utakuwa Musiba mwenyewe,
Unahitajika mahakamani kwenye kesi ya madai
 
 
Da!,nimeipokea samahani,ila kiukweli Membe yuko taabani

Sent using Jamii Forums mobile app
wakatanta madaraka ni kitu kingine. Na hasa mtu anayependa madaraka na alishazoea kunyenyekewa na kila kiumbe. Enzi zake akiwa waziri wa mambo ya nje na huku akiwa na uhakika mkubwa kabisa anakuja kuwa rais wa nchi alikuwa yuko juu mawinguni. Si kuwa juu tu ila watu walikuwa wanamzunguka kila anapoenda na kumwamudu kwani walijua baadae ndiyo atakuwa ''mgawa madaraka mkuu'' Mara ghafla akaangukia pua na kujikuta nguvu na utukufu wote aliokuwa nao umeisha. Watu wa dizaini hii hata kama fedha ya kula wanayo lakini kiroho cha kukosa madaraka lazima kiwakumbe!
 
Mkuu vp kuhusu yule Mbunge toka Kanda ile pendwa ambae ni Mkuu wa ile Wizara ya Mambo ya Home??? Upepo ukibadilika tutaona maselebreshen??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumuona umemuona wewe Mkuu then unataka sisi ndio tushauri
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ww kichwa ya moto aiseπŸ˜…πŸ˜…dah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…