Kulikoni baba nanihii ?

Kulikoni baba nanihii ?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,119
1419164366021.jpg
Akikosa msamehe, akianguka muokote ndoa ni kuvumiliana na kusameheana
 
Punguza viroba mkuu, thread zako nyingi ni za ki.ji.nga j.inga... Hapa sio facebook au whatsapp...... Hili ni jukwaa la great thinkers atiii.. Sawa bwashee!!
 
Punguza viroba mkuu, thread zako nyingi ni za ki.ji.nga j.inga... Hapa sio facebook au whatsapp...... Hili ni jukwaa la great thinkers atiii.. Sawa bwashee!!

Sasa kwani huku umeitwa? Umbea mwingine bwana! Great thinker ni matendo sio maneno kaa ukifahamu, ujinga kwako kwa mwenzako elimu, ungekuwa great thinker usingepayuka~~ take your time n learn how to become a great thinker!!
 
Nani anaharibu "burudiko" tena?Tupo tofauti ila nikikutana na kejeli sizipendiiii!Mkuu Mauzauza vipi tena?
 
Last edited by a moderator:
Punguza viroba mkuu, thread zako nyingi ni za ki.ji.nga j.inga... Hapa sio facebook au whatsapp...... Hili ni jukwaa la great thinkers atiii.. Sawa bwashee!!

Akili ya kushikiwa huwa haifahamu ni ni kinafanywa jukwaa gani. Mwenzio mmpja alikuwa analalama eti tunajadiri watu kule jukwaa la maserebriti ...
 
Mauza uza huku panaitwa stress free we kama una mauzauza yako peleka hukoooo
tuache na jukwaa letu...
mshana jr shusha vitu mkuu
 
Last edited by a moderator:
Sasa kwani huku umeitwa? Umbea mwingine bwana! Great thinker ni matendo sio maneno kaa ukifahamu, ujinga kwako kwa mwenzako elimu, ungekuwa great thinker usingepayuka~~ take your time n learn how to become a great thinker!!
​Nisamehe buree mkuu sikuona ni jukwaa gani halafu natumia simu ya tochi ndo maana.....sorry man!!!
 
Si umeficha funguo za gari na nguo zote umeloweka, naondoka sasa aibu yetu wote nyambaff.
 
Si umeficha funguo za gari na nguo zote umeloweka, naondoka sasa aibu yetu wote nyambaff.

Kwa hiyo njia kuu utasemaje? Je utafika kweli maana udakwa njiani upelekwe mirembe na huko hadi Dr. wajue kuwa ilikuwa ni hasira wenye jumba lao wamekukaribishaje ni manundu mwili mzima bora usubiri hadi kesho au vaa mbichi ukulizwa na njia kuu jibu gari ipo gereji na nguo ulitumbukia kwenye mtaro pole sana.mkuu
 
Back
Top Bottom