kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
View attachment 212792
Akikosa msamehe, akianguka muokote ndoa ni kuvumiliana na kusameheana
jamaa kawa mpole balaa.....
View attachment 212792
Akikosa msamehe, akianguka muokote ndoa ni kuvumiliana na kusameheana
View attachment 212792
Akikosa msamehe, akianguka muokote ndoa ni kuvumiliana na kusameheana
Punguza viroba mkuu, thread zako nyingi ni za ki.ji.nga j.inga... Hapa sio facebook au whatsapp...... Hili ni jukwaa la great thinkers atiii.. Sawa bwashee!!
Dah!! Huyu demu anaonekan anamchapa sana mumewe.
Alivyo jishika kiugomvi ugomvi
Dah!! Huyu demu anaonekan anamchapa sana mumewe.
mkuu hapo hatakama jamaa huwa anakuwa mkali kwa waifu,lazima kwa kosa hill awe mdogo kama sisimizi
mkuu hapo hatakama jamaa huwa anakuwa mkali kwa waifu,lazima kwa kosa hill awe mdogo kama sisimizi
Vip wew my wife anaeza kukuchapa?!?
Hapo anatafuta kisa kdgo atembeze tena kichapo
Kuna wake ni wakorofi wamepitiliza hasa wa kanda ya kule kwa nanihii na huku karibu na mawe ya pesa
Ha ha ha ha Kwa hiyo jamaa ni mume -----?....Tupa jiwe gizani, ukisikia ng'aa ujue limempata....
Ha ha ha ha Kwa hiyo jamaa ni mume -----?....