Kulea mtoto wa mwanaume mwenzako

hivi mbona wa kiume wanazidi kuongezeka na wanamme wanapungua.

Bora ndoa za jinsia moja zihalalishwe ili hawa nao waolewe. Wanatuchanganya bure, tukiona wamevaa suruali na mkia mbele tunadhani wanamme.
 
ukitaka kukorofishana na mama watoto wako leta maada za DNA, huwa hawazipendi kabisa.
mi nakuhakikishia hata hapa jamvin hutaona KE yeyote atakayekupa sappot. wanajua yanayoendelea.

Mi nashauri ME msipime DNA za watoto ambao mama zao bado mnaishi pamoja.
Ila kama ukiletewa mtoto ambae mama yake hampo pamoja waweza kujiridhisha kama ni wako la.
 
Mtoa mada hajui kujieleza
Ulitakiwa useme kuwa kati ya watu mia moja wenye mashaka na wake zao waliokwenda kupima DNA 70 wameonekana siyo watoto wao lakini usijumlishe ndoa zote utawa hauna tofauti na wale ambao walikuwa wanawatishia watu kuwa katika kila watu 10 sita wana ukimwi wakati siyo kweli.
Kajipange upya.
 
ukitaka kukorofishana na mama watoto wako leta maada za DNA, huwa hawazipendi kabisa.
mi nakuhakikishia hata hapa jamvin hutaona KE yeyote atakayekupa sappot. wanajua yanayoendelea.

Mi nashauri ME msipime DNA za watoto ambao mama zao bado mnaishi pamoja.
Ila kama ukiletewa mtoto ambae mama yake hampo pamoja waweza kujiridhisha kama ni wako la.

Mi ikinitokea wala sitoonyesha kukasirika. Ntamsupport ila siku ananirudia na majibu ambayo najua yatakua ni 99.9% positive. . na mimi namkabidhi kitu wakati napokea hayo majibu. Divorce papers. .

Mkishafikia kutiliana wasiwasi na kutoaminiana kiasi hicho its just a matter of time. Kesho mtu atakuja na jingine, na jingine na jingine tena.
 
Back
Top Bottom