Kulea mtoto wa mwanaume mwenzako

Ngomo

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
200
95
utafiti uliofanywa unathibitisha kwamba asilimia 70 ya akina baba wengi wanalea watoto ambao sio wa kwao. kwasababu wenye uhakika wa watoto hao ni mama zao tu. sasa kama hali ndio hii nashauri alikina baba tukapime DNA kuhakikisha watoto tulio nao ni wa kwetu
 
Ujinga tu vipi ukapime DNA kama humuamini mke wako anazaa watoto wa halali basi muwache yaishe.

Aisay huo ujinga sitaufanya hata siku moja...kwanza una garantee gani DNA itakupa result 100%

To be honest with u, mwanaume anapo fikia hatua hiyo....mimi namuona hazimtoshi, vipi akaowe mwanamke hujamuamini ana wasi wasi naye.

Mwanaume anaye jiamini lazima atamini hao watoto ni wake tu, wenye mashaka shaka ni wale wanaudhaifu flani, wanajua hawawapi tendo la ndoa wake zao vizuri....au walisha jua toka mwanzo wameowa malaya :biggrin:
 
Kuhusu mwanangu wala sina shaka nae ni mimi kila kitu nikiangalia picha zangu za utoto na yeye uwezi kutofautisha kuhusu baba yangu ndio usiseme tumefanana mpaka sauti
 
Huo utafiti umefanywa na nani? Ulilenga wanandoa wa hali gani maana wapo wanaooana tayari wakiwa na watoto ambao kwa namna yoyote ile hawawezi kuacha kuwalea na kuwatunza.

Ukishapima DNA kinachofuta ni nini? Kupima kipimo hiki ni dalili ya uoga wa ndoa na humkabili sana mwanaume asiyejiamini
 
Ebu usitake kuharibu nyumba za watu ebu anza wewe kwanza ujue kama huyo unaemuita baba kama kweli wako halafu utulete report.
 
iInaudhi sna kulea mtt ambaye sio wako ila ni vizuri kupima na ukawa na uhakika. Hilo la 70% si kweli maana naona ni kubwa mno.
 
utafiti uliofanywa unathibitisha kwamba asilimia 70 ya akina baba wengi wanalea watoto ambao sio wa kwao. Kwasababu wenye uhakika wa watoto hao ni mama zao tu. Sasa kama hali ndio hii nashauri alikina baba tukapime dna kuhakikisha watoto tulio nao ni wa kwetu

mie mwanangu ni wangu kabisa uhakika ninao! Nimefananae huyo balaa!
 
Mbona mie najua families esp watu wa age ya 40s, 30s, 20s hao wanawake duh wanacheza nje na kuzaa. unaona kabisa watoto wanafanana na mtu mwingine nje. kuna mmoja ana 4 kids wa tatu ana umbo na sura nzuri sana a girl unaona kabisa hafanani na mama wala baba na hao watoto watatu hata ukilala ukaamka unajua ni siblings 2 girls hawamfikii mdogo wao.
na ni kweli mama huyo alicheza nje mtoto kafanana na mlaji na ni mzuri uwiiiiiiii
 
Back
Top Bottom