KULEA MTOTO WA KIKE NI GHARAMA ZAIDI KULIKO WAKIUME

KULEA MTOTO WA KIKE NI GHARAMA ZAIDI KULIKO WAKIUME

AskariKanzu

Member
Joined
Jul 25, 2025
Posts
38
Reaction score
145
Takwimu za Britain sainsbury bank, zinasema kuwa wazazi wenye watoto wa kike wanatumia zaidi ya dola 400 toka kuzaliwa mbaka umri wa miaka mitano tofauti na wazazi wenye watoto wa kiume.

Sababu kubwa ni mavazi. Mavazi ya kike ni gharama zaidi ukilinganisha na yakiume mfano gauni, viatu, kofia, bagi nk.

Pubity


_20250823_115146.JPG
 
Back
Top Bottom