Kule Tarime kuna mahali panaitwa Seroneta, pale ndio kitovu cha ujeuri

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,748
Pale ndio definition ya ujeuri, pale ndio core ya viburi. Sio wanaume, sio wanawake, sio watoto.

Kukutana kule na kijana mwenye alama usoni sio ishu ya ajabu. Pale ndio domestic violence ilipo, assault na harassment.

Ni watu wa aina fulani wenye kuforce sio kuomba, hawajui samahani, it's all about him/her, vinyongo na visasi.

Sherehe nyingi kule ni dakika moja zinabadilika kuwa vurugu, maamuzi ya affairs za kijamii na familia kule ni ya kibabe, haijalishi imewaffect vp jamaa, watoto, mke au ndugu.

Wamama wa kule washakuwa affected na scenario hio, hata wakija mjini mjini kuuza viaxi hawaongei mara mbili bei ashapanda juu. Wanafanya manunuzi ya vitu kwa kukulazimisha wenye biashara wafanye kama wanavyotaka.

NOTE: Sio jamii yote ipo namna hio.
 
Kwa hiyo ata ktk 6 kwa 6 mdada wa kule akikwambia chomeka ..wewe chomeka tu usianze mambo mengine
 
Nilifika border upande wa sirari, nikatafuta hotel kupumzika... Nikakutana na wahudumu wamenuna kwelikweli, kila ukimsemesha kuhitaji huduma yoyote anajibu kwa ukali sana huku ametanguliza neno (SI)
SINITAKURETEA,
SASA UNASEMAJE,
SIUJE UPOKEE CHAKULA CHAKO,
SINIMESEMA NITAFANYA. Na akitoka hapo anaongea pekeyake na na kuclick ulimi.

Hakika pesa yangu ilinitesa niliishi kama nipo kituo cha polisi.
 
Wakuria washamba sana Kuna mmoja aliwahi kunijaribu nikampa dozi ndan ya dakika 15 nikamuangusha Kama mara 4 kila akimka nampa kitu alivyoona wana hawaachanishi ugomvi akatoka nduki mi nikajua kasepa kumbe kaenda kuchukua panga nyumbani kakimbia zaid ya kilometa 5 kufata panga tu akarudi nalo

Bahat nzuri alivyorudi hakunikuta ila Wana wakaniambia sahiv ananiwinda na panga nlichofanya nikaenda polisi kufungua kesi nikawa natembea na RB, nikakutana nae Mara ya pili ila hana panga akanivaa nikampa vitasa vya kutosha pua ikawa inavuja damu Kama bomba alivyoenda polisi kuchukua PF 3 ili akatibiwe akakuta nishamfungulia kesi matokeo yake akapelekwa hospital na pingu mikononi
Tangu siku hiyo heshima ikawepo ila niliendelea kuwa na tahadhari nae maana siyo wazima vichwan wale.
 
Back
Top Bottom