Bado unawaza mapenzi tu miaka hii..Shida ni kwamba wakati mtu anaanza kukusaliti wewe ndio unakuwa mtu wa mwisho kujua.. ni heli maumivu ya mwili kuliko maumivu ya moyo wa mapenzi...
Endeleeni kupendana
Kwani shillings ngapi Mzee?Endeleeni kupendana
Aliekua na msemo huo alipigwa mimba na muhuni kisha muhuni akalala mbele akamwacha na watoto mapacha wasiofananaDon't trust anybody
hiyo inama ukute na dem asafiri jumlaUkweli mtupuu, mwenzenu nipo gestii
View attachment 3406836
Umekosa adabu?
So sorry nimefutaUmekosa adabu?
Vitu hivi unanitag pumbavu 😡
Ohooooo hukutumia putululu mzee.Ukweli mtupuu, mwenzenu nipo gestii
View attachment 3406836