Kulala na Domo Wazi

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
534855_305775506164450_561198745_n.jpg
 
Sasa Mbuzi Mzee naona heshima imeshuka. Sali sala yako ya Mwisho nakutafuta nikung'oe kucha kisha nikupeleke msitu wa Pande. Waage wana JF.
 
Huyo wa kwanza akiwa na hela, wadada wa humu waliowengi, masista duu wa town kama Wolper, Wema, Aunt Ezekiel watamshobokea na kumgombania.
 
Sasa Mbuzi Mzee naona heshima imeshuka. Sali sala yako ya Mwisho nakutafuta nikung'oe kucha kisha nikupeleke msitu wa Pande. Waage wana JF.
naona Mbuzimzee amekukosea heshima kabisa siku ya leo, Gwangambo kauza sura yako kweeeeeuuupeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom