SukariTamu
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 295
- 59
Salute all MMU,
Hivi kulala msibani ni lazima? Nauliza hivi maana kunavitu nimeviona juzi msibani nikaona niwajuze tuu. Tumelala pale msibani mama mmoja Usiku akaanza kuota anadinyanya na mumewe khaa! Watu wote msibani tuliamka maana huyo mama alikuwa anakata mauno balaa na kutoa miguno ya mapenz mmh watu wakaanza kucheka kama baada ya dakika tano akahema kwanguvu kisha akarudi usingizini. Hakuna aliyemwamsha hadi asubuhi. Sasa huku sikujitia aibu.
Bora kukoroma kuliko vituko hivyo. Nihayotu.
ukiharibu ni umeharibu tu haijalishi ni usingizini,umelewa au una akili zako timamu
Nawewe ungejifanya unaota then unajisogeza beside...unamgegeda..next ukienda kulala msibani usisahau CONDOMS..ili ukiwa unaota uwe umevaa kabisa..
Niko poa muzee. Nimepata habari yako kuwa uko mujini lakini hutaki kuonana na kaka mukubwa. Hii mutu inaitwa KakaKiiza umefanikiwa kuonana nayo? Iangalie sana bazazi hiyo haichelewi kukuingiza choo cha kike...
aibu haikwepeki we uote unagegedwa tena kwa sauti watu wote
wakaamka kukutizama wewe usione aibu.....
Its unconsious lakin u feel shy cos it happened on the public,
All the people staring on you...
We!:A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4:Miaka ya nyuma kidogo,
ilikuwa watu wakilala msibani ndo ndoa zinaendelea huko migombani na mapagalani
kwa sasa sijui sana.
SnowBall huyo mmama inawezekana ana yale makitu yanaitwa nani mahaba
kwa hali ya kawaida naamini mtu huwezi fanya kitu kama hicho.
aibu haikwepeki we uote unagegedwa tena kwa sauti watu wote
wakaamka kukutizama wewe usione aibu.....
Its unconsious lakin u feel shy cos it happened on the public,
All the people staring on you...
we siku 3 unakeshaga tu.......
usingizi haukwepeki
kumbe wote mademu.Wanawake huwa wanagegedana?
Unatoka asubuhi kama huna shughuli mhimu pale msibani unakwenda lala nyumbani, jioni ukirudi una nguvu mpya au siyoo!!!!!!!!!!!!!