Atoto !! duuh unaendaga mazoezini huku umelala?
YOU MADE MY SUNDAY !!!!!
Leo naona kuna timu humu ndani haifai kabisa...
Ngoja niende zangu Sunday school kucheza na wajukuu!!
Hahahaaaa! Na kweli babu, maswali gani haya tunaulizana tena!!!
Kwanza hiyo pichu unavaa tangu asubuhi mpaka jioni huchoki tu mpaka uvae tena usiku?
hata hiyo k inahitaji upepo na kujiachia
Tatizo mnashindwa kujua jinsi ya kuwajibu watoto wenu.
Tangu lini watoto wakaacha kuuliza maswali? Wapeni majibu yanayowafaa na kikubwa wambie wasubiri muda ukifika watayajua, watayaonja, watayala na kuyachoka. Tatizo mnaanza kuweleza mambo yaliyowazidi umri... mtaacha kuzua maswali zaidi?
Mtoto: hivi mama, mtoto anapatikanaje?
Mama: anauzwa dukani
Mtoto: duka gani? Pale kwa Mpemba? utanipeleka nikanunue wa kwangu...? Tena wa kike nimtoge masikio?
Mama: mhh..mhhh...mhh...ngoja baba akija atupe hela.
Mtoto: kwani wewe huna hela?.......
Mtamaliza usaili kweli??
Inakuwepo na skintite pia.
kumbe k zinahitaji upepo... kwahiyo tuanze kuwa tunazipuliza tukiwa nazo karibu lol!!!
mmmmh we bibie vyote unavaa wewe
Hahahaaa! Ndio vyote navaa, likitokea la kutokea usiku nakurupuka tu bila shida.
sasa bwanshemeji akitaka piga mambo kuanza kuvuana minguo yote si mpaka hamu inamuisha tena
Mie napenda sana kulala bila chupi maana ifikapo alfajiri kwanza uke unakuwa umeumuka pia kuna uteute flani hivi huwa unatoka huku chini...naupenda sana unavyonukia...ki utamu-utamu...yaani unaleta 'ashki' ya kulicheza segere.
No sweet without sweat.
Labda Sijatoka Tanga...
Tanga kuna nini?