God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
haya bana madam yang macho kutazama ulichoandika
Hujawahi? 
A woman body is an art work,kwa kyupi au bila kyupi still anatia ashki na anavutia,hata akivaa haileti usubumbufu sababu hata kuivua yenyewe ni raha tosha ndo maaana wengine tunaivua kwa meno
Mie sina uzoefu mana huwa nalala na track suit.
Mmmmmmmh...sasa si unaleta shida kwa shemej..
Shida gani sasa?
kuishusha hiyo vgum
Kwenye tamuu hakuna kigumu bwana.
Usiku unaikinga na majambazi au
Usiku kabla ya kulala unahakikisha umefunga gate na milango yote kwa uhakika ili wezi na vibaka wasiingie na ukifika chumbani unafunga madirisha na ukifika kitandani unachomeka net ili mbu wasikudhuru sasa ukishafika kitandani ukakomaa kulala na chupi unakuwa na maana kwamba mmeo ni jambazi au unaogopa asikubake ? Jiachie bn