Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Kwenye nyumba yako ndiyo hakuwezi kutokea moto wala kuingiliwa na majambazi? Hivi ikipigwa fatuma kwenye geti la nyumba yako unaweza kukumbuka hata kuvaa nguo? Na usishangae linapotua tu kwenye mlango tayari wao wameshazama ndani na wanakukuta ndiyo kwanza upo kama ulivyozaliwa. Itakuwaje? Pamoja na uhuru wa kuwa nyumbani kwako, kwa security ya bongo hii angalau bukta mhimu.
Pole saana kwa mawazo yako chakavu, wenye akili timamu wamenielewa kwani akili ni nywele na kila mtu ana zake!unaposema "uchoyo" ina maana huwa unaendelea na mchezo mwenzako akiwa amelala fofofo huku akiwa uchi?
Pole saana kwa mawazo yako chakavu, wenye akili timamu wamenielewa kwani akili ni nywele na kila mtu ana zake!
Yaah, mtoto akishaanza ujanja ujanja tu, eti mara anafumbua macho kusikiliza mama analilia nn, haraka sana anahamishiwa kwa dada (house girl)! Otherwise ndo yaleee... joto likizidi ukaitupa shuka, utasikia mtoto anamwambia mama yake, "baba kang'atwa na panya buku kiunoni, tumsaidie kulitoa", Utavutwa dudu weweeeeee...? Chezea watoto wa kidigitali......mkumbuke pia watoto wa below 4 mnapolala japo ni wanandoa
"Bad Boy"Maongezi yako yanaonesha unaishi Mwananyamala kwa Kopa. Mlango wa nje ni wa mbao na chumbani ni pazia au gunia. Mimi sidhani kama inachukua dkk ishirini kuvaa nguo emergence ikitokea.
Sasa kama unalala na nguo kwa kuogopa moto na majambazi, unafanyaje 'mandingo' na mwenza wako? Kinguo-nguo?
Kama wewe ni muoga kiasi mlango ukipigwa hutakumbuka kuvaa nguo basi naamini hata ukiwa na hizo nguo huwezi kukimbia. Watakukuta tu hapo umejisaidia haja zote na mkeo keshakimbia.
By the way, kwa manufaa yako na wenzako, siku nyumba yako ikishika moto na wewe ukawa trapped, vua nguo ndio upite kwenye moto. Ukipita na nguo, nguo zitashika moto na ndio utakuwa mwisho wa mbegu yako
Maongezi yako yanaonesha unaishi Mwananyamala kwa Kopa. Mlango wa nje ni wa mbao na chumbani ni pazia au gunia. Mimi sidhani kama inachukua dkk ishirini kuvaa nguo emergence ikitokea.
Sasa kama unalala na nguo kwa kuogopa moto na majambazi, unafanyaje 'mandingo' na mwenza wako? Kinguo-nguo?
Kama wewe ni muoga kiasi mlango ukipigwa hutakumbuka kuvaa nguo basi naamini hata ukiwa na hizo nguo huwezi kukimbia. Watakukuta tu hapo umejisaidia haja zote na mkeo keshakimbia.
By the way, kwa manufaa yako na wenzako, siku nyumba yako ikishika moto na wewe ukawa trapped, vua nguo ndio upite kwenye moto. Ukipita na nguo, nguo zitashika moto na ndio utakuwa mwisho wa mbegu yako
mie ninavyojua mchezo mzuri ni ule ambao mnaenda hadi mnafikia mnavuana nguo(9t dressing) wenyewe. Sasa hata wakati hamfanyi au hamna mpango wa mchezo muwe mmelala uchi. Anyway kila mtu na mapenzi yake
Kajaribishe upate jibu! Si kila mnauliza.Wakuu
Naomba kuuliza tu kwamba je watu kulala uchi wa Mnyama maana/mantiki yake ni nn?
mie nikilala uchi sipati usingiz kabisa, mpaka nivae pensi laini otherwise nahisi kama siko safe.
Hata mie hufanya hivo siku moja moja najisikia kurelax very comfortable natandika kitanda changu vizuri kwa shuka za polyster nahakikisha chumba kina nyuzi joto 16C then nalala usingizi unakuja vzr!!
Hehehe.....ukiwa kwenye ndoa ni full kujiachia bana! Tabu ya nini? Kwanza maungo yanatakiwa yapate hewa ya kutosha.
haswaa.! uwe na waswas uko somalia?, ukiwa chumban na mwenzi wako fanya ya chumban bhana!
Kama wewe ni mwana-ndoa, sidhani kama ni sahihi kulala ukiwa umevaa nguo kwani kufanya hivyo ni kumnyima mwenzi wako uhuru wa kuuchezea/kuutumia mwili wako, ambao ni halali yake!