Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

mmmmmh! kulala uchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii .... raha hasa chumba kikiwa kisafi mashuka yananukia hewa safiiiiiii chini panabonyea basi ndo starehe!!
 
mmmmmh! kulala uchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii .... raha hasa chumba kikiwa kisafi mashuka yananukia hewa safiiiiiii chini panabonyea basi ndo starehe!!
mhhhhhhhh.........sio siri bado hamjanishawishi, ukizingatia kwangu uswahilini, panya, mende, kunguni viroboto, nge, etc
 
Wakuu

Naomba kuuliza tu kwamba je watu kulala uchi wa Mnyama maana/mantiki yake ni nn?
Kama wewe ni mwana-ndoa, sidhani kama ni sahihi kulala ukiwa umevaa nguo kwani kufanya hivyo ni kumnyima mwenzi wako uhuru wa kuuchezea/kuutumia mwili wako, ambao ni halali yake!
 
Kazi kweli kweli!inategemea na mazoea jamani!ila ni hatari kwa wanaume kulala bila nguo kabisa!kama kuna game likiisha unavuta pensi lako laini au track laini unatinga safi!na bibie hata akila night dress bila kitu ndani si mbaya sana!
 
naunga mkono hoja
 
dah, watu mko deep eh?
Kama wewe ni mwana-ndoa, sidhani kama ni sahihi kulala ukiwa umevaa nguo kwani kufanya hivyo ni kumnyima mwenzi wako uhuru wa kuuchezea/kuutumia mwili wako, ambao ni halali yake!
 
hahahahaha lol! uchi wako mwenyewe na wala si mnyama 🙂🙂🙂

Mimi nalala uchi, lakini sio wa mnyama kama ulivyosema bali uchi wangu mwenyewe. Nalala uchi kwa sababu hata mchana navyovaa nguo huwa navaa kwa sababu ya kujisetiri. Sasa sijui nikiwa chumbani kwangu, sina safari wala mgeni unataka nivae nguo ili iwe nini.

Kipindi nasoma, nilikuwa nakaa chumbani na taa yangu ya mezani uchi na hapo na 'matirio' ndio yalikuwa yanazama ubongoni murua. Kukaa uchi raha bwana asikwambie mtu, seuze kulala?

Kwa namna ile unavyoipumzisha miguu yako kutoivalisha mibuti unapokuwa ndani basi ndio unatakiwa uutendee haki uchi wako unapokuwa room. Ni ufisadi mkubwa kupeleka sura beach kupunga hewa huku uchi hauna hata nukta ya kupunga hewa
 
Back
Top Bottom