Mambo dada Nivea? Poleeeeeeekwiwkwiwkwiwkwiwwkwiwkwiwwiwiwkwi
asanteeeeeeeeeeeeeeeeee mzima lakiniiMambo dada Nivea? Poleeeeeee
Kama chuma cha reli kasoro kiberenge.asanteeeeeeeeeeeeeeeeee mzima lakinii
Kwa kuwa kiswahili kinakua, ngoja tuwashauri BAKITA wabadili iwe "Uchi wa binadamu"Wakuu
Naomba kuuliza tu kwamba je watu kulala uchi wa Mnyama maana/mantiki yake ni nn?
Kwa kuwa kiswahili kinakua, ngoja tuwashauri BAKITA wabadili iwe "Uchi wa binadamu"
Uc.hi unatisha nyie acheni masikharaaaa! Yaani ukimuona mtu ambae hujakusudia akiwa hivo mambo yako yote yanasimama kwa gundu, nuksi na mikosi.
..kwani we unalala ili ukurupushwe usiku??....kwani huwezi kuvamiwa na ukavuliwa nguo huo usiku??.....sleeping at night is a private affair...you can do it in whichever way you like....hayo ya kukurupushwa ni ajali tu..kama zilivyo nyingine...Mh hiyo si sahihi kwa kweli, ukikurupushwa usiku na moto utatoka nje dudu inaning'inia hahahahah