Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
Will check you out when doing sleep walking.
So u sleepwalk too. Nimeprint hiyo sign na nimeistick kwa mlango. So u r welcome at ur own risk.
Will check you out when doing sleep walking.
anavaa pia miwani yake ili akikurupushwa aone vizuri.Maisha hayo ya kukurupushwa hayako applied kwa maisha ya kila mtu babu, wengine tunakaa kwenye nyumba zetu wenyewe na kuna amani. Pole sana, I hope unalala na viatu pia kwa kuogopa kukurupushwa
So u sleepwalk too. Nimeprint hiyo sign na nimeistick kwa mlango. So u r welcome at ur own risk.
Mume mwanajeshi, mke polisi, full combat mpaka asubuhi.Kama wewe ni mwana-ndoa, sidhani kama ni sahihi kulala ukiwa umevaa nguo kwani kufanya hivyo ni kumnyima mwenzi wako uhuru wa kuuchezea/kuutumia mwili wako, ambao ni halali yake!
Wakuu
Naomba kuuliza tu kwamba je watu kulala uchi wa Mnyama maana/mantiki yake ni nn?
Mume mwanajeshi, mke polisi, full combat mpaka asubuhi.
ukisikia hamu na mwenzio unamtumia sms hii"vua combat, nina hamu mwenzio" na yeye anachukua simu yake anajibu "teh teh, nina-bleed, pole, jaribu tena siku nyingine".
hapo maisha yanaenda kijeshi jeshi.
Mkuu umeonea wanaume tu mbona firimbi hukuizungumzia?Mh hiyo si sahihi kwa kweli, ukikurupushwa usiku na moto utatoka nje dudu inaning'inia hahahahah
Ukioa utajua maana yake nini, nyinyi mnaotafunana nje ya ndoa lazima mvae ili muwe tayari tayari kutoka nduki incase of fumanizi.utakua mzaramo nini?
Wakuu
Naomba kuuliza tu kwamba je watu kulala uchi wa Mnyama maana/mantiki yake ni nn?
hapa unataka kututangazia kuwa unatumia AC sio haahahahahahahahaHata mie hufanya hivo siku moja moja najisikia kurelax very comfortable natandika kitanda changu vizuri kwa shuka za polyster nahakikisha chumba kina nyuzi joto 16C then nalala usingizi unakuja vzr!!
kwiwkwiwkwiwkwiwwkwiwkwiwwiwiwkwiUkioa utajua maana yake nini, nyinyi mnaotafunana nje ya ndoa lazima mvae ili muwe tayari tayari kutoka nduki incase of fumanizi.