Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

Yaani mimi nikipata wageni ndio navaa, lkn kwa muda huu nipo huru ka mtoto mchanga; huku nikipigwa gospel na Emmanuel singers ndani ya Emmanuel TV
 
Yaani mimi nikipata wageni ndio navaa, lkn kwa muda huu nipo huru ka mtoto mchanga; huku nikipigwa gospel na Emmanuel singers ndani ya Emmanuel TV

I see.

sleeping-naked-sign-unintentional-art.jpeg
 
Wakuu

Naomba kuuliza tu kwamba je watu kulala uchi wa Mnyama maana/mantiki yake ni nn?

Starehe ya kukaa/kulala uchi wewe acha tu yaaan mimi hua kila siku nalala hivyo kwakweli kulala uchi ni sawa na kwujiachia ufukweni,, hapo unaweza kujiuliza ufukweni unalipia vp huu ufukwe wa bure chumban nao unashindwa kuutumia? Ulaya zipo hata beach za nyeti ambako mtu unaingia uchi kama ulivyozaliwa ili ukapate upepo nyeti zako zipate raha duniani!

Wanaoogopa kulala uchi ni wenye imani duni na ambao hawajiamini, ikitokea janga ukajikuta upo uchi mbele za watu kwakua ulishindwa kuvaa nguo kabla ya kukimbia ni mambo ya kawaida kwa wenye akili, kwahiyo hupaswi kulaumiwa.

Faida zake ni kama ifuatavyo

a) FOR MEN
- huimarisha mashine kwakuipatia nafasi ya kusimama pale inapotaka kusimama hii ni kama mazoezi kwa dushelele yako na inafanya misuli yake kua imara na hivyo kusimama ipasavyo! Mfano mzuri upo kwa masai na wale wanaovaa msuli muda mrefu, hawa mashine zao mara nyingi ziko vizur.

-Huufanya uume kuongezeka urefu na unene kwasababu mashine inapojaribu kusimama haipati kizuizi toka kwa nguo tunazo vaa, katika hili sina maelezo mengi just refer to darwin theory of use and disuse ( twiga alikua na shingo fupi lakini ilirefuka baada ya kujitahidi kuinyoosha kwa kula majani ya juu zaidi)

- Huondoa tatizo la ugumba, (mbegu zisizo na nguvu ya kuzaa). ikumbukwe kua mbegu zilizopo kwenye korodani hazitaki joto kali na ndio sababu mwili unapopata joto sana korodani hua zinashuka chini ili kujikinga dhidi ya kupoteza uhai wa mbegu ilizohifadhi! kwahiyo kujiweka mijinguo muda mwingi nikutafuta ugumba bia sababu.

b) KWa wanawake
- Husaidia kuepusha papuchi isichache na kutoa uvundo.

c) Kwa wote
- unaufanya mwili kua huru na kurelax na hatimae kurefusha maisha na kuongeza ufanisi katika utendaji wa kazi za kujenga taifa na hata akili kufanya kazi vizuri.

NAPENDA KUA UCHI MUDA MWINGI NIWAPO NYUMBANI PEKE YANGU AU NIKIWA NA MY WIFE WANGU ha ha ha...
 
Sehemu nyeti za mwili zina relax!
Si lazima wakati wa kulala tu, kama wewe ni bachelor or spintser, ukiwa alone rum, jiachie tu uchi. Bonge la starehe, jaribu uone, hutajutia.

Some correction pls ni SPINSTER

Kulala mtupu inasaidia maeneo nyeti nayo kupumua hasa baada ya mihangaiko ya siku nzima na ili joto la DSM
 
No you cant see, niko ndani ya 4 walls milango na madirisha yamefungwa. LOL

Cheki kwenye kona ya ukuta juu utaona jicho linakuangalia.

Last time I came in, I did something on that wall.

I can watch you "live" within my walls now.
 
Kulala mtupu inasaidia maeneo nyeti nayo kupumua hasa baada ya mihangaiko ya siku nzima na ili joto la DSM

For women:

1. It makes healthier sex organs.
2. Improved better sleep quality.
3. It make their air and skins look more sexy.
4. Wengine wanadia inasaidia kupunguza belly fat.
5. Improved self-confidence.
6. If you're a couple, improved better sex kutokana na kuongezeka kwa usalishaji wa kemikali za oxytocin ambazo zinaongeza mood na intimacy.

POSITIVE BENEFITS OF SLEEP NAKED FOR WOMEN
 
Nina bug detector, so niliremove tule tujicho twote ulitotuweka! LOL
Cheki kwenye kona ya ukuta juu utaona jicho linakuangalia.

Last time I came in, I did something on that wall.

I can watch you "live" within my walls now.
 
For women:

1. It makes healthier sex organs.
2. Improved better sleep quality.
3. It make their air and skins look more sexy.
4. Wengine wanadia inasaidia kupunguza belly fat.
5. Improved self-confidence.
6. If you're a couple, improved better sex kutokana na kuongezeka kwa usalishaji wa kemikali za oxytocin ambazo zinaongeza mood na intimacy.

POSITIVE BENEFITS OF SLEEP NAKED FOR WOMEN
UNgelusha na za wanaume basi
 
Mbona mie bado nakuona live?

Nirushe clip ya video hapa?

Pls usirushe, kuna watoto watapofuka macho, na mizabzab itakayokuwa inaniDO ndotoni bila kishika uchumba wala kulipia service rendered.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaa umenena, bonge la mkosi, dudule nje nomaaaaaaaaaaaa
 
Pls usirushe, kuna watoto watapofuka macho, na mizabzab itakayokuwa inaniDO ndotoni bila kishika uchumba wala kulipia service rendered.

Will check you out when doing sleep walking.
 
Nikiwa na king'amuzi changu huwa ni full kujiachia haina cha boxer wala bukta! Stimu ikipanda unajigeuza tu upande wa pili halafu mambo yote yanakuwa bariiiida!!
 
Back
Top Bottom