Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,112
- 143,524
OPP umenikumbusha longiiii duh!!! niongeze kwenye list yako nitahakikisha nakundunda mpaka u-throw out
Lol...ngumi zako zitakuwa kama massage....nitakuachia unidunde tani yako...si unajua tena wahenga walisemaga kofi la mpenzi haliumi (samahani Nkwingwa hii ni methali tu..)
Nina hamu sana ya kucheza tena huu mchezo. Nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunakusanya mchanga, tunatengeneza kama ka mlima flani halafu tunachomeka kijiti juu katikati. Halafu tunaanza kuula kidogo kidogo hadi kijiti kinadondoka. Atakayekula mwisho na kukidondosha kijiti alikuwa anadundwa mingumi kaa mwizi hadi anatia akili. Ningependa tena kuucheza huu mchezo na baadhi ya watu humu ndani akiwemo GT, FMES, MaxShimba, na YoYo....
Lol...ngumi zako zitakuwa kama massage....nitakuachia unidunde tani yako...si unajua tena wahenga walisemaga kofi la mpenzi haliumi (samahani Nkwingwa hii ni methali tu..)
Tehe tehe ...kweli umedata Nkwingwa😀😀
Tehe tehe ...kweli umedata Nkwingwa😀😀
Naona bht ana hamu ya kunidunda...teheteheteheee
bht maambo?
Namuona shem langu Binti Maringo kwa mbaaaaaali kule..Huyu naye pia atafaa kuwepo kwenye mchezo wako huu Nkwingwa wa kula mbakshie baba
Lol...ngumi zako zitakuwa kama massage....nitakuachia unidunde tani yako...si unajua tena wahenga walisemaga kofi la mpenzi haliumi (samahani Nkwingwa hii ni methali tu..)
safi boss!!! nawe unataka kucheza huu mchezo na OPP???
koh!koh!koh!koh....I need B kubwa....
koh!koh!koh!koh....I need B kubwa....
Oh yeah huyu naye atafaa. Ila huyu atafaa zaidi kwenye ule mchezo baba na mama.....unaukumbuka huu Nkwingwa? Nimeucheza sana huu enzi zangu
binti maringo....
na sisi tutacheza baba na mama....
binti maringo....
na sisi tutacheza baba na mama....