Kula kiapo kwa kutumia jina ambalo si lako si kosa kisheria?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,699
149,927
Hivi mtu unapokula kiapo mbele ya mamlaka ya uteuzi kwa kutumia jina ambalo si lako hilo sio kosa la kusema uongo chini ya kiapo(lying under oath)?

Kwakweli dunia nzima inatudharau kisa tu watu wawili/wanasiasa.

Only fools can be comfortable in this country
 
Hivi mtu unapokula kiapo mbele ya mamlaka ya uteuzi kwa kutumia jina ambalo si lako hilo sio kosa la kusema uongo chini ya kiapo?

Kwakweli dunia nzima inatudharau kisa tu watu wawili/wanasiasa.
Kuna kitu hukijui kuhusu sheria za Tanzania , ziko kama kinyonga , kila awamu zinabadilika tena bila watunga sheria kuhusishwa , kwenye hii awamu ya 5 kufoji vyeti si kosa kama ilivyokuwa awamu zingine .
 
Kuna fumbo hapa Daudi .Bashite alienda kuapa na kubadilisha jina lake mahakamani bila kuhusisha cheti cha Paul Cristian,kitu ambacho kina kubalika kisheria
Pakumkamata ni pale alipotumia vyeti ambvyo si vyake kupata nafasi ya masomo ya juu
Juhudi zinazotumika kumnusuru Bashite si mchezo
 
Screenshot from 2017-04-28 13-46-51.png


Swissme
 
Back
Top Bottom