Kula Chakula nyumbani.

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
96
Hivi bandugu kwa nini wawake wanapenda waume zao wale nyumbani?
Yaani usipokula nyumbani utakuwa umekula nje?
Mkigombana ugomvi ukiisha lazima ule! usipokula ugomvi haujaisha!
Akitaka ku-appreciate kitu, lazima atakupa ule?
Je, KULA ndio kipimo cha mapenzi?
 
Yeah mkuu ndio mapenzi ya dhati na wanaonyesha upendo,hata kama umekula nje unapakua tu hata kidogo basi bora uonekane umekula kidogo akiuliza mbona umekula kidogo then unamwambia tu najisikia nimeshiba na chakula cha mchana......
 
mhhhhh!!!!!!!!!

its lunch time!!! nitarudi badae,

Maana kila thread ukiifungua ni mwanamke mwaka huu tutakoma!!! ngoja nikawaite waje waseme kwanini wanawalazimisha kula wakati nyie mmeshiba!! japo sijaelewa kuwa ni chakula gani!!!
 
To me kula si kipimo cha mapenzi bali kunanogesha penzi,ebu fikiria babako angekuwa hali nyumbani ungejiskiaje?ungemuona sa ngapi akijiramba?akisifia upishi wa mama yako?ungejuaje kama na yy anapenda nyma,pilipili,hapendi chumvi?
Mume kula nyumbani kuna raha sana kwanza anajua ile pesa aloacha ya matumizi kama imetosha au la,pili kile kidogo kilichopo mnaweza kugawana na kwa upendo kikaonekana ni kikubwa sana,
tatu yy ndo mtoto mkubwa nyumbani lazima awe na manners ya kula hme that means inabidi awahi hom,na mwisho wakati nakuwa mama alinifunza kutokula kwa watu so leo ni wajibu wangu kumfunza mume wangu kula nyumbani.
 
Well said Pearl
 
Hivi bandugu kwa nini wawake wanapenda waume zao WALE nyumbani?
Yaani usipoKULA nyumbani utakuwa umeKULA nje?
Mkigombana ugomvi ukiisha lazima ULE! usipoKULA ugomvi haujaisha!
Akitaka ku-appreciate kitu, lazima atakupa ULE?
Je, KULA ndio kipimo cha mapenzi?

Jesuit, najaribu kusoma katikati ya herufi hapa,
nagundua kuwa huu mlo huu, sio huu tunaoufikiria,
hapa ni zaidi ya mlo!!!!!!!!!!
Nimeipenda hiyo conclusion, JE,
KULA NDIO KIPIMO CHA MAPENZI?
 
Hivi bandugu kwa nini wawake wanapenda waume zao WALE nyumbani?
Yaani usipoKULA nyumbani utakuwa umeKULA nje?
Mkigombana ugomvi ukiisha lazima ULE! usipoKULA ugomvi haujaisha!
Akitaka ku-appreciate kitu, lazima atakupa ULE?
Je, KULA ndio kipimo cha mapenzi?

"Hili jamvi sasa hivi limekuwa la kihuni"
 
Hivi bandugu kwa nini wawake wanapenda waume zao WALE nyumbani?
Yaani usipoKULA nyumbani utakuwa umeKULA nje?
Mkigombana ugomvi ukiisha lazima ULE! usipoKULA ugomvi haujaisha!
Akitaka ku-appreciate kitu, lazima atakupa ULE?
Je, KULA ndio kipimo cha mapenzi?

Kula nini?
 
Karibu lunch jombaaa
pan_roasted_rabbit.jpg
 
To me kula si kipimo cha mapenzi bali kunanogesha penzi,ebu fikiria babako angekuwa hali nyumbani ungejiskiaje?ungemuona sa ngapi akijiramba?akisifia upishi wa mama yako?ungejuaje kama na yy anapenda nyma,pilipili,hapendi chumvi?
Mume kula nyumbani kuna raha sana kwanza anajua ile pesa aloacha ya matumizi kama imetosha au la,pili kile kidogo kilichopo mnaweza kugawana na kwa upendo kikaonekana ni kikubwa sana,
tatu yy ndo mtoto mkubwa nyumbani lazima awe na manners ya kula hme that means inabidi awahi hom,na mwisho wakati nakuwa mama alinifunza kutokula kwa watu so leo ni wajibu wangu kumfunza mume wangu kula nyumbani.

Nimependa zaidi kwenye red. Kula kwa watu si tabia nzuri hata kidogo
 
Kula nini?? Tunaweza kuchangia suala la msosi kumbe mwenzetu unamaanisha "chakula cha usiku"
 
Mkeo anaonesha upendo kwako kwa kukupikia na anafanya hivyo toka moyoni kwake,sasa usipokula amini utamuumiza sana
 
Hivi bandugu kwa nini wawake wanapenda waume zao WALE nyumbani?
Yaani usipoKULA nyumbani utakuwa umeKULA nje?
Mkigombana ugomvi ukiisha lazima ULE! usipoKULA ugomvi haujaisha!
Akitaka ku-appreciate kitu, lazima atakupa ULE?
Je, KULA ndio kipimo cha mapenzi?

Ukila nje chakula ulichoacha nyumbani ale nani??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom