Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
malkia alikuwa akichukua pembe za ndovu chini ya serikali ya CHADEMA..
kasukumeni ndege ving'ang'anizi wa madaraka !
Huku mtaani wanasema nafuu utawala wa mbwa kuliko utawala wa ccm unaoteka hadi raia wake na kuwauwa !
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol, kumbe ni Mkongwe Kwenye iyo biashara, ila akikata rufaa nahis ataongezewa kifungo, bora akubari matokeoWe fikiria huyo bibi alikuwa akisafirisha meno ya tembo tangu miaka ya 70!
Ni watu wangapi wamefaidika na biashara hiyo?
Ni watu wangapi wamepokea rushwa kuruhusu nyara hizo za serikali kupitishwa kwenye viwanja vyetu vya ndege na mipakani?
Lol, kumbe ni Mkongwe Kwenye iyo biashara, ila akikata rufaa nahis ataongezewa kifungo, bora akubari matokeo
If you would be a Judge you could missed her too, she has been sentenced/condemned by a R. Magistrate. Being a Judge could depend on whether she Appealed to your court, if no Appeal you could definitely miss as you missed this time.Huyo Malkia wa Tembo, i wish if i could be a judge kumfunga 30yrs..!!
Turushieni kapicha kake huyo fisadi mnene
Safi sana Magu
Wakili? Mh! Ila la Lisu na upelelezi wake limewashinda hata chembe. halafu unawasifia, Wakili! Wakili, wakili!atu, hukumu ya Leo imetuma ujumbe kuwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini viko macho muda wote katika kutekeleza majukumu yao. Hukumu ya Leo itume onyo kwa wanaoendelea au wanaopanga kujihusisha na biashara haramu ya nyara za Serikali na kadhalika.
malkia alikuwa akichukua pembe za ndovu chini ya serikali ya CHADEMA..
kasukumeni ndege ving'ang'anizi wa madaraka !
Huku mtaani wanasema nafuu utawala wa mbwa kuliko utawala wa ccm unaoteka hadi raia wake na kuwauwa !
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unadhani chadema ya mbowe ingefanana na chadema ya zitto? Au chadema ya mashinji inafanana na chadema ya dr silaa?malkia alikuwa akichukua pembe za ndovu chini ya serikali ya CHADEMA..
kasukumeni ndege ving'ang'anizi wa madaraka !
Huku mtaani wanasema nafuu utawala wa mbwa kuliko utawala wa ccm unaoteka hadi raia wake na kuwauwa !
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mama si ndiyo aliye kamatwa kipindi cha awamu ya Kikwete?Katika suala la Rasilimali, Magu nampa 80%, hizo kumi awe makini katika kupindua mikataba nitammalizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa hasa hiyo ya tanroad kuweka alama nchi nzima ila hawa wachaga wa kaskazini wameshindwa kazi kurundika ndugu zao na watu wa ukanda wao tu kazini
Sent using Jamii Forums mobile app