Kukurupuka ni Janga jipya la Kitaifa

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
14,645
11,635
Kwa hali hii tunayoenda ni hatari kwa Taifa letu..

Tukae chini tupange tuone tunaweza kufanya na tuone kama kuna madhara ikiwa sawa basi tufanye... bila kusahau tupendane wengine tukishaona mwelekeo mzuri nasi tutakaa sawa ila kwa sasa ni Duble Duble tu... hatuelewi ni mzimu wa muda au ndio tunaenda huku Gari muda wake wa Service umepita...

Tulishwe kwanza ili tufanye kazi... Tusikurupuke la sivyo litakuwa janga kubwa sana mbeleni...
Ankal Magu anafanya vizuri tumsaidie na kuonya mapema ni jambo jema kufanya nampongeza...

''So let be Written, So let it be done''
 
Mkuu ndo maana tunatumia majina bandia!! funguka zaidi wapi nchi kama nchi tumekurupuka na wapi jamii inakurupuka au viongozi wapi wamekurupuka? Umeingea kimafumbo sana ingawa mwanga nauona kwa mbaliiii, lakini kwanini usimwage mtama hapa watu tujifunze?
 
Back
Top Bottom