kukumbukana wakati wa shida.

Bora huyo
we hujawahi kuwa na ndugu 'masikini jeuri' ?

shida anayo,anajua unaweza kumsaidia
analalamika kwa watu baki tu humsaidii
yeye haji kukuomba umsaidie
anataka wewe ndo umfuate na shida ni yake

swali langu hata halijajibiwa:disapointed:
 
swali langu hata halijajibiwa:disapointed:


Polee ..nakuelewa..
you feel used...unapenda huyu ndugu yako
uwe nae karibu bila kuwa anahitaji umsaidie
so mueleweshe akuelewe

kwa sisi wengine hatuna tabu mtu akidisapear baada ya kusaidiwa
tunaonana kwenye misiba na harusi siku hizi..
busy life...
 
swali langu hata halijajibiwa:disapointed:

Shemeg iweje wasema hujajibiwa swali lako?

Hapa chini nimenukuu moja ya speculations za swali lako la msingi, na maneno niliyoandika mimi ni moja ya majawabu uliotoa....
je tujifanye wajinga kwa kuwasaidia tu watu hivyo kama uwezo wa kufanya hivyo upo,? (kwamba tenda wema wende zako), tuwaonye tabia zao? tuwanyime msaada maana hawana uungwana? au tufanyaje wakuu?
 
wala pia tusiwahoji kulikoni wakumbuke wenzao wakati wa shida?

Kama una uwezo wa kutoa msaada, we toa msaada...kama huwezi basi na jibu lako liwe siwezi.

Unamuuliza maswali kwani nawe huwa unamkumbuka na kumjulia hali?
 
swali ni kwamba mpaka mkaacha kuwasiliana wewe ulikua wapi tena msaidie tu maana we ni rafiki au ndugu ukimuhukumu anzia kwako maana hata wewe ulikua na uwezo wa kumtafuta.

jibu ni kwamba hatuna mazoea ya kuwasiliana mara kwa mara hata mimi nikimkumbuka silii shida ila yeye kukumbuka mtu mpaka yamkwame.
 

haya ahsante.
 
Shemeg iweje wasema hujajibiwa swali lako?

Hapa chini nimenukuu moja ya speculations za swali lako la msingi, na maneno niliyoandika mimi ni moja ya majawabu uliotoa....
[/COLOR]

samahani hiyo statement nilikuwa namwambia the boss nikakuquote kimakosa.
 
Kama una uwezo wa kutoa msaada, we toa msaada...kama huwezi basi na jibu lako liwe siwezi.

Unamuuliza maswali kwani nawe huwa unamkumbuka na kumjulia hali?

nimekusoma shemeji
 

^^
Ujue mtu wa aina hiyo anakuwa tayari anajua udhaifu wako.. U mwepesi wa kusaidia watu ( a mothering person)
^^
 
wala humpelelezi,ni kwamba nachokijua mimi ni kuwa mara nyingi watu tunowasevu kwenye simu zetu au ambao huweza kutufikia na kutulilia shida ni wale ambao angalau tunajua mambo yao kadha wa kadha kama vile shughuli afanyazo na namna ya maisha anayoishi sio rahisis mtu from nowhere aje na kuanza kukulilia shida,sijui nimeeleweka hapo mkuu?
hiyo sasa ni kumpeleleza au! si utakuwa unapoteza muda kujua ratiba zake zipo vipi. lol
 
Kuna ndugu yangu aliwai niambua siku hizi tunatembeleana endapo una "ishu" na sio kusumbuana simu za salamu ama kutembeleana tu.
Anywy, back to topic, kwa upande wangu, mtu ambaye ataniomba msaada wakati hata kunitafuta hajawahi, binafsi ntakua proud kumsaidia endapo nitakua na uwezo huo kwasababu kwa kuomba msaada nitajua kua still ameona umuhimu wangu kwake, amejua thamani ya uwepo wangu katika kutatua tatizo lake.
Kwa upande mwingine, usiangalie kua huyo mwenye shida ndiye wa kukutafuta tu, hata kama huna shida, wewe umekua kipaumbele kumsalimu?
Msaada una utendwa kwa yule mwenye uwezo wa kusaidia tu lakini salamu zinafanywa na wote wawili.
 
ha haaaaaa, usikute wewe ni one of wadogo zangu.....
Ukubwa raha sana..... wadogo zangu wameshanijua, nikimpigia simu baada ya salamu ananiuliza nina shida gani anisaidie!
kuna wakati hakuna ulazima wa kupigiana simu tu kwa sababu una namba ya mtu... tena siku hizi na hayo mapromotion imekuwa kero fulani, mtu anakupigia hana hata la maana, ila sababu kajirusha basi anaona aongee tu na kila mtu.
Mimi bora unitafute ukiwa na sababu maalumu, kama kunisalimu tu unaweza nitumia sms inatosha.
Ukiwa na shida ukanitafuta nitakuona wa maana zaidi kuliko kunitafuta bila sababu.
Kuna watu ambao utapenda kuongea nao bila sababu, huyo hata akikupigia kila dakika na hana la maana la kukuambia bado utapokea simu yake kwa tabasamu.
 

Ni kweli watu wengi wana tabia hii. Hata mimi imenitokea mara nyingi. Utakuta mtu mlikuwa hamusiliane lakini gafla anaanza kukuzoea mara ni na shida nisaidie. Ukisha msaidia do bac tena hata salaam hatuna. Tena utakuta mtu yupo mbali sana kuvuka mikoa. Je huko anakoishi hamna watu wa kuwasaidia?
 

Husninyo mi nakupenda.

Hilo tu baaaaaaaas!!
 
wala pia tusiwahoji kulikoni wakumbuke wenzao wakati wa shida?


sawa mpenzi, ngoja tutende wema malipo mbinguni

me huwa nawapa makavu,nnaye my x-koleji meti,yaani yeye akibanwa ndo anansaka na huwa namwambia kabisa,na kuna wakat nashindwa kumsaidia kwa 7bu ya hiyo tabia,kama ni kumkopa ntampatia wapi?maana hakawii ku-change namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…