Kuku wangu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,863
Reaction score
141,437
Jamani eeh naombeni msaada. Kuku wangu kala mtama wa jirani sasa jirani kaja juu. Anataka anipeleke mahakamani. Msaada jamani.
 
Masihara sasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mle nyama ili asikusumbue
 
Masihara sasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mle nyama ili asikusumbue

Sitaki kumchinja bana. Kuchinja ni ukatili. Ujue kuku naye ana haki ya kuishi kama wewe ulivyo na haki hiyo.
 
mpe huyo jirani huyo kuku amle,huyo kuku kwako hana faida anakukosesha amani na majirani so you might as well mgawa!
 
Unapenda kuku wewe?

Huyo kuku unafugia wapi unanichanganya bwana mambo ya kuku kula mtama ni na kupelekwa mahakamani yalishapita kitambo, lazima kuna kuku special unayemuongelea wewe. Hebu tufafanulie hilo tego bwana
 
mchape vibao, imeandikwa usimnyime kuku mapigo maana ukimchapa hatakufa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…