Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Hapa inabidi kuku nao watumie akili!
Hakuna cha ajabu hapo. Hiyo ni picha tu, na wewe nani kakuambia kuna cha ajabu hapo? Au ndio mambo yenyewe ya kukurupuka usingizini?Cha ajabu mini hapo?
Wow,nice asije akadumbukia tu
inaonekana wanaustaraabu anaanza baba wa familia anamlizia mtoto..
yani hawa kuku wana akili kuliko hata baadhi ya viongozi wetu
Kila Viumbe hawakosi kuwa na kiongozi wake hata wanyama wanao kiongozi wao.Jogoo anaongoza wake zake...hehehehe
chini ya Mto kusiwepo na Mamba? itakuwa kasheshe kweli Mwenyeezi Mungu awasaidie hao vitoweo.Hapa inabidi kuku nao watumie akili!
duh, sasa unatisha!yani hawa kuku wana akili kuliko hata baadhi ya viongozi wetu
Yap, ingekuwa ni kuku wa Tanzania wangedumbukia mtoni!Hao sio kuku wa Tanzania.
yani hawa kuku wana akili kuliko hata baadhi ya viongozi wetu
Yap, ingekuwa ni kuku wa Tanzania wangedumbukia mtoni!