Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
KUna mtu yeyote anajua wapi wale kuku dume (Majogoo) wanaofukuza watu na kuwadona wanapatikana ,sina uhakika kama mnawaelewa au wako baadhi kama mnaweza kuwajua,namkumbuka mmoja bonge la jogoo na akitisha ukienda kuokota maembe kama yupo basi hapaokoteki embe ni mkali nikafikiri anavutishwa bangi lakini nilienda pakistani nikawaona na nikaambiwa ni ghali sana.