Kuku wakuchoma wakienyeji Dar wapi wanauza?

Kuku wakuchoma wakienyeji Dar wapi wanauza?

Gongo la Mboto, kituo Cha mwisho wa Lami pale Huwa wanachoma sana kuku....

Ukitaka mbuzi choma na nyama ya ng'ombe utapata pia...

Zaidi zaidi mbuzi na ng'ombe waweza pia kupata hapo Pugu Mnadani.....😀
 
Back
Top Bottom