Kuku wako manati ya nini?

Bila wivu utajuaje kama anakupenda??

Hujambo mpenzi bubu. Ya kizee hayanaga mbitambita au sio?

Wivu kidogo ni muhimu ktk kuboresha penzi ila unapozidi hapo ndo huzaliwa Gubu, kwani mara atakuwa anahisi kama we unamdharau, humpendi, humheshimu na mengine mengi ili mradi tu kujipa unyonge wa hiari.
 
Aiseeeeh!
Dunia haiishi maajabu,,,,,, upendo wa kipimo cha percentage?
How?
 
Naenjoy huo wivu, kufatiliwa fatiliwa, nikitoka simu kila saa "vipi mbona haurudi, kwani upo wapi mbona pako kimya hivyo" yani ni usumbufu kama nipo bar hata zanzi naona haimezeki mi naona raha....
Basi sasa hivi unaonekana unapata tabu sana eeeeeh!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…