Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,799
Uwiiiii nilikumiss sana, ulikuwa wapi wewe, au kisa sina wivu juu yako ndomana
Cc mamaafacebook
nimekumiss pia wa ubavu wangu.. acha tu!!! natumai hakuna aliekua anajisogeza sogeza karibu maana
Shaka ondo hakuna aseee
ndo mana nikafall... haya mawivu tuwaachie wasiojiamini!!! kufatiliana sana ka watoto sio issu eti
Tupe darsa sheikh wivu ukizidi ni dhambi.
la kikurya hapana aseee lazma litanizaba vibao....Dawa yako nikuozeshe kwa dume la kikurya au la kinyamwezi wewe, uuone mziki wake atakuchunga hata ukiingia toilet ambayo iko ndani.
Wivu ukizidi na huyo anayeonewa wivu mapito yake si mazuri HAKUNA WIVU BILA SABABU mfano unamkuta kidume yuko chumbani kwakwo na mkeo yupo au mfanyakazi mwenzie anadai kazoee kuja na wala hana shida kwa maneno mepesi namna hiyo WIVU UTAACHAKUWEPO
Mtupe hela labda....Wanawake mkipewa uhuru mnajisahau sana, na msipopewa uhuru nako ni shida pia
Tuwape nini?
Ukishakuwa na mtu anayekuchungulia hata ukiwa bafuni kana kwamba utaibinulia dirishani tegemea kipondo mai dia.
fact fact fact