Kuku ni utajiri ulio ndani ya sayansi na utaalamu na siyo mazoea

Sep 6, 2018
79
198
Kuku ni mingoni mwa wanyama wanaopendwa sana duniani kwasababu huliwa na karibu watu wote,huzaliana kwa wingi, huishi popote na hula chochote.

Kwasababu hizo kuku ndiyo ndege pekee aliyeenea kwa wingi duniani na kuliwa sana kuliko mnyama yoyote. kwa takwimu za sasa za dunia ni kuwa mahitaji ya ndege huyu yameongezeka na hayatapungua wala kuwa sawa kutokana na umuhimu wa mazao yake kutokuwa na hathari sana kwa walaji wala mazingira.

Mimi kama mtaalamu wa ndege hawa napenda kuthibitisha kuwa mawazo yako ya kufuga ndege huyu yapo sahihi na kuwa unachelewa tu kuanza kuvuna matunda ya mafanikio kupitia kiumbe huyu kipenzi. kama unafuga kuku na huoni mafanikio basi kuna sababu kuu mbili zinazo kusumbua;

sababu hizo ni;
1: kufuga kimazoea.

2: kutokuwa na elimu ya kutosha juu ya ufugaji kuku na nini cha kufanya unapofikiria kufuga hadi unapofuga
kwa kutambua umuhimu na mchango wa sekta hii tumeamua kuja na mbinu ya ugavi kwa wote wenye nia na ndoto ya kuwa miongoni wa wanufaika wa viumbe hivi maalumu. Tuna darasa maalumu kupitia mtandao wa telegram linalotoa elimu nzima juu ya ufugaji kuku,
kuanzia aina za mbegu za kuku zinazopatikana tanzania,kuchagua mbegu ya kufuga, namna ya kufuga,uleaji wa kuku wa umri wote, lishe ya kuku, magonjwa pamoja na chanjo, n.k

Mafunzo yanatolewa kwa gharama ya sh elfu tatu pekee, na masomo hayatafutika hivyo ni sawa na kuwa na kitabu, lakini pia utajiunga kwenye kundi maalumu la telegram ambalo utakuwa unaleta swali na changamoto yoyote na kupatiwa utatuzi haraka sana, wengi wamejiunga na wamefanya maamuzi bora na sahihi kwenye ufugaji wao, nitumie nitumie private message ili tuwe wote darasani sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom