[emoji23] [emoji23] [emoji23] miss chagga Khantwe Madame B[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Umepotea njia humu wanawake wote wanaume wao ni watu wenye pesa. Hawatoki wala kuolewa na makapuku! Sasa hio chips kuku yako ya 2,500/- utampata nani?!
Shida, Sikitu na Tatu, Mkuu UmetishaaaaaHizo chips za vichwa, ng'oko na utumbo za tandika na kigogo haziwezi kuwa na tija kwa warembo wanaojielewa. We endelea kula kwa urefu wa kamba yako akina Shida, Sikitu na Tatu wanawake wanaonemwa kabla ya kuolewa.
Huku kwa akina Loreen, Shawna, Marylin, Nolanda na Taliyah waachie wenye kipato cha kwenda kulishia chips za KFC wale nchi mzee. Hii ndio DSM kamanda!
sio muda wote nipo online mkuuMbona siku hizi number moya huitendei haki?
Mi nilisema uninunulie simu kwanza ndo tuanze kuongea hizo habari za chipsi kuku[emoji23] [emoji23] [emoji23] miss chagga Khantwe Madame B[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Pacha umeanza lini haya mambo?Mi nilisema uninunulie simu kwanza ndo tuanze kuongea hizo habari za chipsi kuku
Hahaa pacha aliniahidi mwenyewe kwa kinywa chakePacha umeanza lini haya mambo?
Ofa ya chakula kitamu ni mojawapo ya kuonyesha upendo kwa yule umpendaye.... Lakini vilevile ofa ya chakula hutumika kama kitongozeo, kama ndoana ya kunasa mpenzi.... Kuna chakula maarufu sana kinaitwa chips [emoji489] kuku [emoji239] achana kabisa na hiki chakula..... Kimewanasa wengi mno.... Kuna mpaka watoto waliopatikana kupitia hiki chakula....
Bei ya chips [emoji489] kuku[emoji239] inatofautiana kulingana na mazingira... Kuna chips kuku kuanzia buku mpaka elfu kumi na tano
Sasa uswahilini kuna CHIPS [emoji489] KUKU [emoji239] mzima(sio kuku aliye hai) la hasha, chips kuku mzima ni combination ya halo halo, cheni bloku na namba eleven kwa gharama ya Tsh 2500/= tu....
Yani ni chips za buku, kichwa cha kuku kilichosokomezwa miguu miwili ya kuku kisha kwa pamoja vikapigwa kabari na utumbo wa kuku..... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji12]
Hiyo ndio chips kuku mzima ya uswazi inayowatia wazimu watoto wa kike.... Najua ulishawahi kupewa ofa hii wee mdada japo ni kitambo sana