Hahahaha kuku mwenyewe mzururaji hivyo lol.....umekuja tu hata maji hatujakupa ushakimbilia kwa majirani!
Kulikuwa na bonge la mwaliko wa hi sikukuu nikajikuta nimejumuika nasikitika hakukuwa na kilichobaki ningekuletea mambo ya pwani.
Unataka nijaze nyuki mezani? Unataka kuniambia hutumii vitu vikali ngoja basi niagize hata coke.
Hapana si unajua soft drink zinakuwaga na sukari? Ambayo kwa nyuki ni sawa na kamba kwa kuku mgen.i
Inakuja kwa ajili yako.
Hahahaah mkuu umefukua kaburi, thread ya 2012 [emoji12] [emoji12]kukumbuka walio kukaribisha sio jambo baya mko wapi ndugu mlio nikaribisha hapa jf?
Aiseee kitambo sana.Habarini wana JF.
Kama kuku mgeni nahitaji kukaribiswha.
Shukrani za dhati ziwafikie
Wana jf.