Kukosa ustaarabu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukosa ustaarabu!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Askari Kanzu, Jun 9, 2012.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Tena huyo wa kwanza kushoto kavaa rangi ya Barcelona!
  [​IMG]
   
 2. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 1,185
  Trophy Points: 280
  nimecheka sana!!!!!!!!!
   
 3. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  Yaani ngo'mbe kama hizi hazitakiwi mjini kabisa.Tutaendelea kuu gua saa kwa kuendkeza ujinga huu!
   
 4. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  maisha bora kwa kila mtz
   
 5. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Yaani nimcheka mno!
   
 6. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hell no!! Tell me this is not true!!! Unaweza ukatueleza hii kitu inatokea wapi?
   
 7. L

  LadySwa Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani hapa ni wapi?
   
 8. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Baada ya kumaliza shughuli inaonekana watavaa hivyo hivyo bila ya kujisafisha.Chezea usela mavi wewe
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwi kwi kwi teh teh teh. Natures call.
   
 10. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mateja hao! Wacha chezea cocaine wewe!:clap2:
   
 11. Kambaku

  Kambaku JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 2,889
  Trophy Points: 280
  Wananukishiana yaani hadi hilo lingine limeziba pua aisee, kweli TZ tumethubutu, tumeweza na sasa tunasonga mbele!
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hahaaa wapi hapo?
   
 13. B

  Bob G JF Bronze Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Haya ndo maisha bora kwa kila Mbongo. Penye umaskini wa kupindukia kote duniani hakuna ustaarabu, Ustaarabu pale palipo na matumaini na si walipo kata tamaa kama Hao vijana may be hata mia 200 za kulipia choo hawana,
   
 14. J

  Jembe la ndege Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Khaaah h sio tz jaman duu lakn c wanalenga mtalo au?
   
 15. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,167
  Likes Received: 3,372
  Trophy Points: 280
  Hahahaha!! kwere, ni wapi aisee..
   
 16. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Hii ni laana ya kuishabikia ccm
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hahahaahaha, huu ni upepo, utapita..
   
 18. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wanatembea na toilet papers. Haina haja ya kuharibu maji yenyewe shida.
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  unasema, kama huna nauri piga mbizi...kama huna pesa ya kulipia choo.....
   
 20. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Mi mtazamo wangu ni kwamba vijana hawa hawajaandaliwa mazingira ya ustaarabu kwa hiyo hawawezi kuwa wastaarabu kamwe. Mojawapo ya huduma za jamii ambazo serikali yetu imezipuuzia ni pamoja na maliwato, ambayo mi nilipokuwa naanza kupata akili miaka ya 80 mwanzoni kulikuwa na vyoo vya serikali karibia kila mahali ambavyo watu walivitumia bila malipo na vilikuwa na huduma zote za msingi km maji na sabuni. Leo hii, vile vyoo vyote vya serikali vimebinafsishwa, na wawekezaji hao wameachiwa uhuru wa kutoza kiwango cha pesa watakazo, cjawahi kusikia EWURA wakidhibiti bei ya kujisaidia kwny maliwato ya umma! Tutafakari! :A S thumbs_down:
   
Loading...