Tundu Lissu vs Mandela

Tundu Lissu vs Mandela

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,121
Reaction score
165,984
TUNDU LISU na MANDELA

1. Wanaomfananisha Tundu Lisu na Nelson Mandela, kimantiki inabidi waifananishe serikali yetu pendwa na ya makaburu. Je, Tutaelewana kweli? TURUDI MEZANI BILA HILA. Tunawatesa Mahakimu, Majaji na Mahakama zetu.

2. Kuna siku Jaji atapitiwa aseme PEOPLES! Na mwingine aseme HAPO VIPI?

3. Ushindi kisheria haujawahi kutatua migogoro ya kisiasa, kidini, mirathi na ardhi. Haki mahakamani si lazima iwe ndiyo KWELI.

4. Tukitatua changamoto za kisiasa kwa sheria; ipo siku tutatatua changamoto za kisheria kwa siasa.

Ukimwona Mjaluo kavaa kandambili hazifanani rangi; ya kulia kaivaa kushoto na ya kushoto kaivaa kulia, ujue kuna mawili:

  • Ni mla madeni sugu mpaka misibani
  • Kapitia kandambili za wanaoswali
msikitini😂😂

Kuna watu walikuwa wanaheshimiwa sana, sasa wanachukiwa. Na kuna watu walikuwa wanachukiwa sana, sasa wanasikilizwa na kuheshimiwa. Kila kukicha, jana ilikuwa nafuu kuliko leo.

Bora kupoteza mali kuliko fursa.
 
tundulisu ni mropokaji,
tundulisu ana njaa kali mno mpaka hua anabeba kontena la kiporo cha ubwabwa maharagwe hadi kizimbani.

tundulisu anapenda sana public sympathy na anapenda zaidi pesa za kuchangiwa bila kufanya kazi.

tundulisu ni mkiuka sheria na katiba ya nchi kwa makusudi, ana dharau mno mahakama, na hana adabu kwa mamalaka za nchi.

tundulisu ni mpenda sifa ambazo hazijawahi kumpa faida yoyote,
tundulisu ni mchochezi, mpenda fujo, ghasia na maafa yawapate wasio muunga mkono.

tundulisu ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ambae ni mbinafsi sana.

tundulisu ni miongoni mwa wanasiasa wanaotamani kila mtu awe na tabia mbaya ya kutibua minywele kama mwendawazimu mithili yake.

tundulisu hawezi kufanana na mandela kwa chochote kwa maoni yangu :NoGodNo:
 
Mtu kama huyo ana mchango mdogo sana kwa taifa lake.
 
Lissu hawezi kujadiliwa na wapigwa miti nonsense kama wewe na watu wakatilia maanani. Wewe nguruwe endelea kupigwa miti kwenye makorido ya Lumumba japo upate buku saba ila jiandaeni kisaikolojia siku nchi ikikombolewa machaguo yenu ni mawili tu either muuwawe au mkimbie Nchi Hilo liwekeni kichwani nguruwe nyinyi.
 
tundulisu ni mropokaji,
tundulisu ana njaa kali mno mpaka hua anabeba kontena la kiporo cha ubwabwa maharagwe hadi kizimbani.

tundulisu anapenda sana public sympathy na anapenda zaidi pesa za kuchangiwa bila kufanya kazi.

tundulisu ni mkiuka sheria na katiba ya nchi kwa makusudi, ana dharau mno mahakama, na hana adabu kwa mamalaka za nchi.

tundulisu ni mpenda sifa ambazo hazijawahi kumpa faida yoyote,
tundulisu ni mchochezi, mpenda fujo, ghasia na maafa yawapate wasio muunga mkono.

tundulisu ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ambae ni mbinafsi sana.

tundulisu ni miongoni mwa wanasiasa wanaotamani kila mtu awe na tabia mbaya ya kutibua minywele kama mwendawazimu mithili yake.

tundulisu hawezi kufanana na mandela kwa chochote kwa maoni yangu :NoGodNo:
Kata kata kata Tena viuno wewe mkata viuno wa lumumba buku 7fc polepole alikua mwana CCM mwenye kibuli zaidi yako leo NI RIP HAPA DUNIANI HATA KABULI LAKE NI NDOTO KULIONA CHUNGA SANA NDIMI
 
TUNDU LISU na MANDELA

1. Wanaomfananisha Tundu Lisu na Nelson Mandela, kimantiki inabidi waifananishe serikali yetu pendwa na ya makaburu. Je, Tutaelewana kweli? TURUDI MEZANI BILA HILA. Tunawatesa Mahakimu, Majaji na Mahakama zetu.

2. Kuna siku Jaji atapitiwa aseme PEOPLES! Na mwingine aseme HAPO VIPI?

3. Ushindi kisheria haujawahi kutatua migogoro ya kisiasa, kidini, mirathi na ardhi. Haki mahakamani si lazima iwe ndiyo KWELI.

4. Tukitatua changamoto za kisiasa kwa sheria; ipo siku tutatatua changamoto za kisheria kwa siasa.

Ukimwona Mjaluo kavaa kandambili hazifanani rangi; ya kulia kaivaa kushoto na ya kushoto kaivaa kulia, ujue kuna mawili:

  • Ni mla madeni sugu mpaka misibani
  • Kapitia kandambili za wanaoswali
msikitini😂😂

Kuna watu walikuwa wanaheshimiwa sana, sasa wanachukiwa. Na kuna watu walikuwa wanachukiwa sana, sasa wanasikilizwa na kuheshimiwa. Kila kukicha, jana ilikuwa nafuu kuliko leo.

Bora kupoteza mali kuliko fursa.
Wanaomfananisha Lissu na Mandela tahadhali muelewe tu kwamba Nelson Mandela aliwasaliti Wa South alipokubali mazungumzo na Makaburu, akapewa zawadi ya Urais akakubali masharti ya Makaburu. Na ndio ukawa ugonvi mkubwa baina yake na Mkewe ndoa ikafa wakawa maadui Kisiasa. Leo Wa South wako wapi?
 
Ugomvi wa Nelson Mandela na mkewe kipenzi chake Winnie
Chanzo ni mambo ya
kinyumbani baina
ya wawili ✅️

Sio nnje sio alakati zao❌️
 
Back
Top Bottom