Kukojoa ndani ya swimming pool sio uungwana

Tabia hii ipo kwetu wakina dada, yani tukisha ingia ,labda kwa zile nguo zinachora"k" ilivyo mtu anaamua abaki ndani , anakojoa huko huko we utashangaa tu ukioga unawashwa.
wengine pia unakuta MTU YUPO HEDHI ila analazimisha kuoga, nayo mbaya sana hii, unakuta maji yanakuwa na rangi ya ajabu.
Tubadilike.
Leo ndio nimejua kuwa jaji Ni KE
 
Najua hii tabia wanayo binadamu wengi unakuta mnaogelea katika pool mtu anabanwa mkojo badala aende toilet anaamua kumalizia shida zake humohumo ndani.

Mwingine ndo shenzi wahed anakunya kabisa. Unaweza ukashangaa kinyesi kinapanda juu ya maji. Aisee kweli nimeamini kila mtu ana upumbavu wake.

Usichoweza kukifanya wewe mwingine anakifanya and vise versa is true.
Nenda sehemu ambazo nzi hazipo kabisa. Si unajua kupunguza Sana uchafu mkuu. Kuna siku nimeenda rock beach niogelee niliyokutana nayo nilihairisha. Watt wa mtaani wanaoishi kule mlimani kapri point,kiingilio afu 3, nikaamua siku ingine niende malaika nilienjoi Sana. Bei yao ni alfu kumi kuogelea tu ulitaka bufee ni 25,
Kweli pako kistaraabu Sana Tena Sana nilienjoi Sana huku MTT akicheza eneo la watt.

Pia ukienda kule ubungo plaza kule juu kabisa Kuna miaka niliogeleaga Bei yao ilikuwa ni 10 Napo sikuijutia hela yangu.kuna bafu unaingia unatoa jasho ama mafuta yako ya kunukia Kama monica Lewinsky
 
Tabia hii ipo kwetu wakina dada, yani tukisha ingia ,labda kwa zile nguo zinachora"k" ilivyo mtu anaamua abaki ndani , anakojoa huko huko we utashangaa tu ukioga unawashwa.
wengine pia unakuta MTU YUPO HEDHI ila analazimisha kuoga, nayo mbaya sana hii, unakuta maji yanakuwa na rangi ya ajabu.
Tubadilike.
Duh nilikua sijui kama wewe ni Ke
 
Najua hii tabia wanayo binadamu wengi unakuta mnaogelea katika pool mtu anabanwa mkojo badala aende toilet anaamua kumalizia shida zake humohumo ndani.

Mwingine ndo shenzi wahed anakunya kabisa. Unaweza ukashangaa kinyesi kinapanda juu ya maji. Aisee kweli nimeamini kila mtu ana upumbavu wake.

Usichoweza kukifanya wewe mwingine anakifanya and vise versa is true.
Wewe unalalamika kukojoa ndani ya swimming pool mbona hiki ni cha mtoto, mwaka juzi nilipeleka wanangu kuswimm pale Wet n Wild yaani sikuamini macho yangu. Niliona kitu kinalelea na kuelekea mgongoni mwa mwanangu, kwenda kuangalia kumbe ilikuwa ni kipande cha mavi kuna mtu alijiachia mle ndani. Think of that.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom