Kukojoa ndani ya swimming pool sio uungwana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,954
2,000
Najua hii tabia wanayo binadamu wengi unakuta mnaogelea katika pool mtu anabanwa mkojo badala aende toilet anaamua kumalizia shida zake humohumo ndani.

Mwingine ndo shenzi wahed anakunya kabisa. Unaweza ukashangaa kinyesi kinapanda juu ya maji. Aisee kweli nimeamini kila mtu ana upumbavu wake.

Usichoweza kukifanya wewe mwingine anakifanya and vise versa is true.
 

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,840
2,000
Najua hii tabia wanayo binadam wengi unakuta mnaogelea katika pool mtu anabanwa mkojo badala aende toilet anaamua kumalizia shida zake humohumo ndani.mwingine ndo shenzi wahed anakunya na kunya kabisa unaweza ukashangaa m∆√| yanapanda juu ya maji...aisee kweli nimeamini kila mtu Ana upumbavu wake usichoweza kukifanya wewe mwingine anakifanya and vise versa is true.
Tabia hii ipo kwetu wakina dada, yani tukisha ingia ,labda kwa zile nguo zinachora"k" ilivyo mtu anaamua abaki ndani , anakojoa huko huko we utashangaa tu ukioga unawashwa.
wengine pia unakuta MTU YUPO HEDHI ila analazimisha kuoga, nayo mbaya sana hii, unakuta maji yanakuwa na rangi ya ajabu.
Tubadilike.
 

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,840
2,000
Kuogelea kwenye hayo madude nilishashindwa. Baharini sawa.
Baharini mabomba yote ya Mwananyamala hospital, Muhimbili, Aga khan Hospital,Ocean Road, posta yote na Kariakoo, yale ma** ya wa--maize na pilipili yanaelekezwa baharini yaani, sasa afadhali ipi, mkojo wetu au ma-V ya posta na Muhimbili?
Mauchafu yote ya hospitali yanaingia baharini, tena hapo samaki wanakula alafu wewe unaenda kula ugali samaki pale break point kwa elfu 20
 

Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
6,910
2,000
Kule Kigoma ukiingia toilet pale stesheni au hata kwenye bar utakuta Kuna mtu kaweka signature kutumia kinyesi. Kuta zote Hadi usawa wa kichwa na zaidi.

Inamaana watu wa Kigoma wanachamba na mikono na kusiliba kwenye kuta?
Watu wa Dar kweli Hawa flush public toilet hata Serena hotel (I know because I have seen several times tukiwa na mikutano au sherehe pale)

Lkn Kigoma wamekwenda extra mile.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom