Shagiguku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 407
- 133
wadau, mimi naomba au napenda nielimishwe :help: kuhusu hii tabia ya watu (hasa wanaume) kutemea mate mkojo alioukojoa yeye mwenyewe (hasa anapokojoa kandoni mwa-barabara/njia).
je, kuna uhusiano gani kati ya mkojo na mate ya mkojozi....????
nawasilisha......!!!!!! :A S-confused1:
je, kuna uhusiano gani kati ya mkojo na mate ya mkojozi....????
nawasilisha......!!!!!! :A S-confused1: