Expert Judgement
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 441
- 748
Hapana mkuu nipo kwenye majonzi makubwa nimempoteza mama katika mazingira yenye utata sanaYani unamwaga laifu laifu pasi kuota? ?????!!!!!!!!
kuna mwanamke currently unamuwaza sana !
Cc Smart911
Je zinabaki katika ubora uleule?Usihofu kuhusu kumalza mbegu maana zinavyotoka ndipo zinavyozalishwa nyingine
Yap nimeoa mkuu pia hii hali imewahi kunikuta nikiwa na mke wangu nilijisikia vibaya Sana Nikajua atajua nawaza mchepukoPole sana mkuu kwanza kumpoteza mama, hiyo hali yako itaisha. Je, umeshaoa mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo hata mm nilijua hakuna tatizo! Lakn siku tano mfululizo mkuuHakuna Tatizo Mkuu
Asante mkuu kila nafsi itaonja umautiPole kwa kumpoteza Mama mkuu.
Ukiwa ndani ya box niruhusa pia kufikiria nje ya boxYaani kumtag Mshana tu... Inamaanisha una majibu yako mwenyewe sema unataka mtu wa kuyapigia mstari...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kegel exercise sijaanza leo nafanya mara nyng maana nisimple tu ndonashangaa hali hii
Miaka 30Pole kwa kumpoteza mama ndugu yangu! Siku tano mfululiizo hilo linaweza likawa tatizo umri wako mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasalaam ndugu zanguni
Kwa muda wa siku tano mfululizo nimetokewa na hali yakumwaga mbegu ZAKIUME usingizini pasipo kuota ndoto nyevu bali nikishtuka usingizini ( katika hali YA usingizi huo huo) nakuta zinatoka Tena kwa mshindo mkubwa na zinakua nyingi. Najua wengine mtasema labda nakuwa na mawazo hayo ya ngono! Hapana maana nipo kwenye maombolezo ya msiba wa marehem mama alieaga dunia mwezi huu na ningali bado nipo nyumbani kwa mama kuweka mambo yake aliyoacha sawa. Hali hi imenitisha mfano usiku waleo nimepiga bao mbili naombeni ushauri nahofia kumaliza mbegu maana zinatoka km maji bombani. UKIWEZA KUSHAURI KARIBU, UKIPENDA KUBEZA SIKUFUNGI NAZINGATIA UHURU WA KUTOA MAONI
cc mshana jr
Sent using Jamii Forums mobile app