makenze
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 356
- 217
Nimeona nitumie ukurasa huu kukiri kwamba kuna kaka kazini nimetokea kumpenda sana mpaka yeye mwenyewe amejua na yeye kaanza kunipenda
Ni mdogo kwangu kiumri na mimi ndo nilimpokea kazini.
Mwanzoni sikuwahi hata kumuweka akilini mwangu hata kidogo yaani wala kumuwaza,ila hivi karibuni baada ya yeye kuwekwa kwenye idara yangu aisee natamani kila saa nimuone
Na yeye nahisi ananijali kuliko kawaida kwani amekua akinisaidia kazi nyingi sanaaa tena bila kumuomba.ananijali sana
Ki ukweli hali ya yeye kunisaidia kazi nyingi ndo imepelekea nikamuelewa sana.
Sasa sijui kama yeye ananipenda au mimi ni mawazo yangu na kijana hana hata hayo mawazo.
Kuna siku tunapiga stor nikamuuliza kama ana mpango wa kuoa akasema hana kabisa.
Mpaka naandika hii stor ni kwamba leo wakati ananielekeza jambo flani alinishika mkono bila sababu na nilijihisi tofauti sana.
Niliona kabisa jamaa ananipenda na sio uongo.
UBAYA NI KWAMBA NIMEOLEWA na ubaya mwingine ni kwamba mume wangu ndo boss wetu.
Naogopa moyoni na nahisi kumsaliti mume wangu kihisia
Sihitaji hata kukutana nae tena japo haiwezekani maana tunaonana mara kwa mara.
Nafanyaje wandugu