kipi kikali mkuuAcha maneno makali
Inabidi niache kazi sitaki kumuona tenaNdiyo maana napata wasiwasi hata kuoa mwakani aisee!
Kumwamini mwanamke ni hatari sana katika maisha ya mwanaume.
Usiposhinda hizo hisia zako kuna
1. Kusaliti ndoa yako
2. Kumharibia kazi kijana huyo
3. Kudharirishwa huyo kijana hasa siku akifumaniwa (Kupigwa au KY ikihusishwa)
4. Kifo kati yako au huyo kijana wa watu.
Ridhika na hali yako na uliyenaye dadangu!
Au hukuona wenzako walivyo wengi na warembo zaidi yako wanavyotafuta pale Mlima wa moto?
AsanteKupenda haina maana ndo umekuwa malaya, hapana ni hisia tu ila je utazicontrol vipi? Mtu anaweza akaona au akaolewa lakini bado akatamani wengine hivyo ni swala la mtu mwenyewe kujicontrol. Kwani wanaume kwa siku tunatamani wangapi, si ni wengi, sasa hvyo ni uamuzi wa mtu na sio UMALAYA
Hivi vitu kama hujakutana navyo nirahisi sana kushangaa na kuhukumu lakini vipo na hutokea tu, mimi pia nimeolewa na ninampenda mno mume wangu na nina muheshimu sana lakini niliwahi kukutana na mwanaume mmoja aisee from nowhere nilianza kuhisi kumpenda vibaya mno, ofcoz sikumuonyesha mana sikutaka ajue na sikuwa na mpango wa kuanzisha nae mahusiano lakini nilikuwa nikikutana nae nahisi kuchanganyikiwa nikawa nasali Mungu aniondolee ile hali mana hata cjui kwanini nilikuwa nahisi vile mana sikuwa na mpango kabisa wa kusaliti ndoa yangu ila nna shukuru baada ya muda fulani ile hali ikaanza kuondoka na uzuri zaidi jamaa akaja akahama huo mtaa nikamsahau kabisaaa,Na ubaya ni kwamba utakuwa sababu ya kijana kupoteza kibarua chake maskini! Kama mumeo ni mtu anakupenda na anakujali sioni sababu za wewe kupata hisia za kimapenzi kwa mwanaume mwingine shouger tulia na ndoa yako km inakupa heshima na thamani sjui hujaona kule MLIMA WA MOTO mabinti wanavohangaika kutafuta ndoa BILA DALILI??
Vitu vingine unatamani nakuviacha.sio kila unachotamani unakichukua.
Kwakua ni mbaya kutamani lakini sio kama watu hawatamani
Ungekuwa umeolewa na huyo kijana,ungeleta uzi humu unampenda Boss wako....wanawake hamjuagi mnataka nin![]()




Umeongea moyo wangu.Hivi vitu kama hujakutana navyo nirahisi sana kushangaa na kuhukumu lakini vipo na hutokea tu, mimi pia nimeolewa na ninampenda mno mume wangu na nina muheshimu sana lakini niliwahi kukutana na mwanaume mmoja aisee from nowhere nilianza kuhisi kumpenda vibaya mno, ofcoz sikumuonyesha mana sikutaka ajue na sikuwa na mpango wa kuanzisha nae mahusiano lakini nilikuwa nikikutana nae nahisi kuchanganyikiwa nikawa nasali Mungu aniondolee ile hali mana hata cjui kwanini nilikuwa nahisi vile mana sikuwa na mpango kabisa wa kusaliti ndoa yangu ila nna shukuru baada ya muda fulani ile hali ikaanza kuondoka na uzuri zaidi jamaa akaja akahama huo mtaa nikamsahau kabisaaa,
kweliNaelewa hali unayoipitia ila nakushauri punguza mazoea nae na ji keep busy usiruhusu kijana akuzoee zaid maana hapo ndio mtaongeza tatzo,fanya kazi zako jistir vzr kitu kibaya ni kuwa licha ya wew kuwa na upendo wa kawaida na huyo kijana ila unaweza ukamfukuzisha kazi hapo unakuwa umemharibia maisha....kama unataka kumharibia maisha basi endelea ila kama una upendo nae mzur basi jitahid
Kwahyo umepoteza hisia nae?Kwa sasa hapana.ila kuna kipindi alinisaliti