Kukiri

Kukiri

Nyie ndo mnasababisha watu wawe single maza na wengine kuachika. Sasa una mume wako wa ndoa Ila bado unatamani wengine ambao ulipaswa uwaachie wenzako. Ridhika na ulichonacho
Vitu vingine unatamani nakuviacha.sio kila unachotamani unakichukua.
Kwakua ni mbaya kutamani lakini sio kama watu hawatamani
 
Na ubaya ni kwamba utakuwa sababu ya kijana kupoteza kibarua chake maskini! Kama mumeo ni mtu anakupenda na anakujali sioni sababu za wewe kupata hisia za kimapenzi kwa mwanaume mwingine shouger tulia na ndoa yako km inakupa heshima na thamani sjui hujaona kule MLIMA WA MOTO mabinti wanavohangaika kutafuta ndoa BILA DALILI??
mdada nimeona kuna jamaa kashakuopoa na thread kakuanzishia kabisa, Hongereni
 
Nimeona nitumie ukurasa huu kukiri kwamba kuna kaka kazini nimetokea kumpenda sana mpaka yeye mwenyewe amejua na yeye kaanza kunipenda
Ni mdogo kwangu kiumri na mimi ndo nilimpokea kazini.
Mwanzoni sikuwahi hata kumuweka akilini mwangu hata kidogo yaani wala kumuwaza,ila hivi karibuni baada ya yeye kuwekwa kwenye idara yangu aisee natamani kila saa nimuone
Na yeye nahisi ananijali kuliko kawaida kwani amekua akinisaidia kazi nyingi sanaaa tena bila kumuomba.ananijali sana
Ki ukweli hali ya yeye kunisaidia kazi nyingi ndo imepelekea nikamuelewa sana.
Sasa sijui kama yeye ananipenda au mimi ni mawazo yangu na kijana hana hata hayo mawazo.
Kuna siku tunapiga stor nikamuuliza kama ana mpango wa kuoa akasema hana kabisa.
Mpaka naandika hii stor ni kwamba leo wakati ananielekeza jambo flani alinishika mkono bila sababu na nilijihisi tofauti sana.
Niliona kabisa jamaa ananipenda na sio uongo.
UBAYA NI KWAMBA NIMEOLEWA na ubaya mwingine ni kwamba mume wangu ndo boss wetu.
Naogopa moyoni na nahisi kumsaliti mume wangu kihisia
Sihitaji hata kukutana nae tena japo haiwezekani maana tunaonana mara kwa mara.
Nafanyaje wandugu
Ndo maana watu wanazuia wake zao kufanya kazi
 
mdada nimeona kuna jamaa kashakuopoa na thread kakuanzishia kabisa, Hongereni
😛 😛 😛 ahsante dear friend ayo ni matokeo ya maombi ya mama Rwakatare kweli ukiamini unapendeka bila dalili😀😀😀😀😀 nebuchadnezzer thank you baby kwa kunipenda
 
😛 😛 😛 ahsante dear friend ayo ni matokeo ya maombi ya mama Rwakatare kweli ukiamini unapendeka bila dalili😀😀😀😀😀@nebuchadnezzer thank you baby kwa kunipenda
kipindi hiki kinaruhusu kupendana baridi kama lote
 
Afu sjui mi nikoje, sjawai kupata hisia kwa watu wawili tofauti kwa wakati mmoja, mume yupo, nikutane na kijana sjui mwanaume mwingine nipate hisia za kimapenzi zitoke wapi??? Hata kama ana maudhi kiasi gan khaa au sjui kupenda?? Baby Nebuchadinezzer utapata raha sana ila jitaidi kutafuta pesa 😩 😩 😩 😩 😩 😩
 
Shetani senge sana wewe
 
Attachments

  • VID-20191015-WA0064.mp4
    1.9 MB
Ndiyo maana napata wasiwasi hata kuoa mwakani aisee!

Kumwamini mwanamke ni hatari sana katika maisha ya mwanaume.

Usiposhinda hizo hisia zako kuna
1. Kusaliti ndoa yako
2. Kumharibia kazi kijana huyo
3. Kudharirishwa huyo kijana hasa siku akifumaniwa (Kupigwa au KY ikihusishwa)
4. Kifo kati yako au huyo kijana wa watu.

Ridhika na hali yako na uliyenaye dadangu!
Au hukuona wenzako walivyo wengi na warembo zaidi yako wanavyotafuta pale Mlima wa moto?
 
Nimeona nitumie ukurasa huu kukiri kwamba kuna kaka kazini nimetokea kumpenda sana mpaka yeye mwenyewe amejua na yeye kaanza kunipenda
Ni mdogo kwangu kiumri na mimi ndo nilimpokea kazini.
Mwanzoni sikuwahi hata kumuweka akilini mwangu hata kidogo yaani wala kumuwaza,ila hivi karibuni baada ya yeye kuwekwa kwenye idara yangu aisee natamani kila saa nimuone
Na yeye nahisi ananijali kuliko kawaida kwani amekua akinisaidia kazi nyingi sanaaa tena bila kumuomba.ananijali sana
Ki ukweli hali ya yeye kunisaidia kazi nyingi ndo imepelekea nikamuelewa sana.
Sasa sijui kama yeye ananipenda au mimi ni mawazo yangu na kijana hana hata hayo mawazo.
Kuna siku tunapiga stor nikamuuliza kama ana mpango wa kuoa akasema hana kabisa.
Mpaka naandika hii stor ni kwamba leo wakati ananielekeza jambo flani alinishika mkono bila sababu na nilijihisi tofauti sana.
Niliona kabisa jamaa ananipenda na sio uongo.
UBAYA NI KWAMBA NIMEOLEWA na ubaya mwingine ni kwamba mume wangu ndo boss wetu.
Naogopa moyoni na nahisi kumsaliti mume wangu kihisia
Sihitaji hata kukutana nae tena japo haiwezekani maana tunaonana mara kwa mara.
Nafanyaje wandugu
Huu ndio ugonjwa wa wanawake wengi 'amekua akinisaidia kazi nyingi sanaaa'yaani kitu kidogo kama hicho kinamfanya mama mke wa mtu kutaka kuvua utu wake,kweli hali sio shwari.Sio njaa,maana Mume ni bosi,ila tamaa ya vitu vya kijinga.Na vimisaada vidogo vidogo kama hivyo unakuta mtu kaingia mzima...
 
Endelea na umalaya wako tu..mwanakuyatafuta mwanakuyapata
Kupenda haina maana ndo umekuwa malaya, hapana ni hisia tu ila je utazicontrol vipi? Mtu anaweza akaona au akaolewa lakini bado akatamani wengine hivyo ni swala la mtu mwenyewe kujicontrol. Kwani wanaume kwa siku tunatamani wangapi, si ni wengi, sasa hvyo ni uamuzi wa mtu na sio UMALAYA
 
NAZIDI KUSEMA KUA "SIKU UKIJUA MWANAMKE ANATAKA NINI BASI UNAKARIBIA KUFA "

Cc: Mwenye bikra yake
 
Back
Top Bottom