Kukiri

Kukiri

Nyie ndo mnasababisha watu wawe single maza na wengine kuachika. Sasa una mume wako wa ndoa Ila bado unatamani wengine ambao ulipaswa uwaachie wenzako. Ridhika na ulichonacho
Atakuwa hafikishwi kunakotakiwa
 
Pole sana...

Jitahidi uyashinde majaraibu...

or esle utamsababishia jamaa matatizo makubwa sana...


Cc: mahondaw
 
Vitu vingine unatamani nakuviacha.sio kila unachotamani unakichukua.
Kwakua ni mbaya kutamani lakini sio kama watu hawatamani
Najua hutokea ila hayo mazoea ndiyo yatakusababisha mpaka muingie kwenye mapenzi. Kuwa na msimamo na acha mazoea na huyo kijana la sivyo utampoteza mume, kazi na kijana ndiyo kazi yake itakuwa imeishia hapo.
Kumbuka
Wanaume tumeumbwa kutovumilia usaliti wa mwanamke na siku tukigundua na kusamehe thamani yako kama mke haitakuwepo tena yaani akikaa na wewe au kuongea jambo unaweza shangaa jamaa kabadilika ghafla au kuna wakati anaweza kukutukana mbele za watu kwasababu anakumbuka usaliti uliomfanyia. USALITI HAUJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA
 
Nimeona nitumie ukurasa huu kukiri kwamba kuna kaka kazini nimetokea kumpenda sana mpaka yeye mwenyewe amejua na yeye kaanza kunipenda

Ni mdogo kwangu kiumri na mimi ndo nilimpokea kazini.

Mwanzoni sikuwahi hata kumuweka akilini mwangu hata kidogo yaani wala kumuwaza,ila hivi karibuni baada ya yeye kuwekwa kwenye idara yangu aisee natamani kila saa nimuone

Na yeye nahisi ananijali kuliko kawaida kwani amekua akinisaidia kazi nyingi sanaaa tena bila kumuomba.ananijali sana
Ki ukweli hali ya yeye kunisaidia kazi nyingi ndo imepelekea nikamuelewa sana.

Sasa sijui kama yeye ananipenda au mimi ni mawazo yangu na kijana hana hata hayo mawazo.

Kuna siku tunapiga stor nikamuuliza kama ana mpango wa kuoa akasema hana kabisa.

Mpaka naandika hii stor ni kwamba leo wakati ananielekeza jambo flani alinishika mkono bila sababu na nilijihisi tofauti sana.

Niliona kabisa jamaa ananipenda na sio uongo.

UBAYA NI KWAMBA NIMEOLEWA na ubaya mwingine ni kwamba mume wangu ndo boss wetu.

Naogopa moyoni na nahisi kumsaliti mume wangu kihisia

Sihitaji hata kukutana nae tena japo haiwezekani maana tunaonana mara kwa mara.
Nafanyaje wandugu
Umekiri kuwa unampenda ukomo!
Unahisi mapenzi ya dhati kwa kijana.
Alikushika mkono ukalowesha chupi
Ushauri mtunuku papuchi mara moja
Ukiweza mtunuku na tiGO iliyo bikira
Mara moja tu hakuna shida kabisa
Hakikisha humuandai mtatombana
Mzukie kama radi wakati wa kiangazi
Lengo apige shoo mbovu inayokera
Kuonja utamu wake na kujua umbile
Husaidia sana kuondoa hisia zako
Ilani: baadhi hutopea na kulowea
Angalia usijekuwa mmoja wapo
Ukakosa mwana na maji ya moto
Ukafamya kijana akabikiriwa tiGO
Akakosa kazi na ulemavu juu yake



Bazazi
 
Huyu atakuwa kashaliwa tayari,anakuja kupima nguvu ya upepo wa kisulisuli kwa maswali mepesi huku kashapitiwa na upepo
 
Back
Top Bottom