Kukimbiza kuku wa kienyeji?

Huyu hana gharama maana ni wa kienyeji na utamu wake kiama kaka...Huhitaji kwenda Steers kumtafuta au Posta yupo tu kila ukimhitaji
 
Wataalam waliona hilo tatizo ndo wakaja na mfumo wa kuku wa ARV. unamtuma hata mtoto akamlete ili afanywe kitoweo
 
Awe wa kienyeji wa kisasa wote ni watamu tu inategemeana na viungo utakavyomwekea katika mchuzi halafu unakuwa na kanywaji. Lakini wote wanapochinjwa lazima waelekee kibra hata kama mjanja kama kidizile
 
Hili swali limekuwa likinitatiza sana.. kwanini kuna raha ya aina fulani kufukuza kuku wa kienyeji kabla ya kumfanya kitoweo?
Kwi kwi kwi we acha tu hila kuku mwenyewe amjuae mfugaji tu.
Unaweza fukuza kuku wa kiswahilia ukazani umekamata pambe kumbe zee ukajikuta unakula nyama iliyodolola. Si unajua kuku awaongei na ni tabu kwa mfukuzaji kujua kama ni nyama fresh au kuku zee limetaga mpaka basi.
 
Hili swali limekuwa likinitatiza sana.. kwanini kuna raha ya aina fulani kufukuza kuku wa kienyeji kabla ya kumfanya kitoweo?

Hahahahahahaha kwa sababu unajua kuna msosi bab kubwa wa ubwabwa wa nazi kwa chuzi zito la kuku wa kienyeji au pilau ya kuku ya kukata na shoka na kachumbari kwa pembeni bila kusahau kisamvu/mchicha pembeni...ndiyo motisha wenyewe huo :)
 
Akiwa kitowe cha kwanza kula nini? kipapatio , shingo, paja, firigisi, etc wewe unaanaaza na kipi?
 
Hamna specification, mwala hata vilivo kharam nyie sivyo? makafiri wakubwa ala??. Kuku huyu jogoo au yule wa kutaga? Je mwala aliyechinjwa halaal au mwajilia tu??

Na kama kitendo cha kumla kuku kama ni kitendo chema kwanini kuku akimbie kuokoa uhai wake? Naskia uvundo hapa.
 
na kwanini utoke jasho na upate uchovu wote huo kwani huijui ile formula ya kurusha Mtama, Mchele au Mahindi. tatizo MM umekulia sana MJINI.
 
wakuu,
sasa huyu kuku anaingiaje kwenye hili jukwaa maridhawa la MMU?....
Kuku wa kienyeji nijuavyo mimi ni msemo utumikao kuwahusu wadada wale ambao bado wako " raw"... wa kijijini au peri-urban..ambao hawajajanjaruka na mambo ya mjini! This explains why mjadala uko kwenye jukwaa hili.

MMKJJ..am i correct?
 
I guess so.... (on his behalf, of course)
 
wakuu,
sasa huyu kuku anaingiaje kwenye hili jukwaa maridhawa la MMU?....

hilo si ndio jibu sasa Goeff??
afu kumbuka mtoa mada ni mzee na unajua wazee wanalugha tata!!
 
hilo si ndio jibu sasa Goeff??
afu kumbuka mtoa mada ni mzee na unajua wazee wanalugha tata!!

halafu wanavojua kudangaya watoto wadogo basi B! bora wewe umekuwa kuwa binamu yangu HUDANGANYIKI
 
halafu wanavojua kudangaya watoto wadogo basi B! bora wewe umekuwa kua binamy yangu HUDANGANYIKI

sidanganyikiiiiiiiiiiiii!!!!! wa ukweli fasihi hainipiki chenga na hizi twisheni zako za kila wiki binamu nimeadvansi kweli kweli!!!
eti kuku Goeff thinks its a real kuku wa kienyeji..........
 
sidanganyikiiiiiiiiiiiii!!!!! wa ukweli fasihi hainipiki chenga na hizi twisheni zako za kila wiki binamu nimeadvansi kweli kweli!!!
eti kuku Goeff thinks its a real kuku wa kienyeji..........

hapo chacha!:D
 
Kwanza wakati akimbiapo,unamuona kwa nyuma anavyochezesha mkia wake,alafu chenga atakazo kuwa anakupiga zitafanya ufurahi maana wakati mwingine chenga hizo ni ndogo sana kiasi kwamba ungeweza kumksmata,lkn ukishamkamata si unajua hana tena nguvu ya kukimbia?nadhani unajua kitakacho fuata kitoweo tu then baada ya kula unalala chali kwa uchovu wa kushiba!

Aminia, we mkali bibie
 
hahahaha kaka bwana bado tu!?

hawa kuku wetu hawa yaani hawa kuku wetu hawa kuna raha yake hasa huyu wa kienyeji wakati unamkimbiza, wakati mwingine anarukia mibani unasita kidogo baadaye unamuona anakuja usawa wako mwenyewe anajaribu kuruka juu pembeni akitua tu unae, analia pale baada ya mda ananyamaza unamweka kwapani hadi home, unaanda kisu na mahali pa kumchinjia,
ukimshika shingoni na kuwmachia unaona macho yanalegea, na wazuri sana ni wale ambao hawajataga.

Well said Eddy.....huyo ndie kuku MM is talking about...inaonekana mzee umewafaudu sana hawa.....!
icon10.gif

Na kama kitendo cha kumla kuku kama ni kitendo chema kwanini kuku akimbie kuokoa uhai wake? Naskia uvundo hapa.

Mzee mzima vipi bana.....sio anaokoa uhai wake, bali anakupandisha'' steam'' aka mzuka!
Kuku wa kienyeji nijuavyo mimi ni msemo utumikao kuwahusu wadada wale ambao bado wako " raw"... wa kijijini au peri-urban..ambao hawajajanjaruka na mambo ya mjini! This explains why mjadala uko kwenye jukwaa hili.

MMKJJ..am i correct?

Ati kuna watoto hapa....mchele mwaaaaaaaaa!

sidanganyikiiiiiiiiiiiii!!!!! wa ukweli fasihi hainipiki chenga na hizi twisheni zako za kila wiki binamu nimeadvansi kweli kweli!!!
eti kuku Goeff thinks its a real kuku wa kienyeji..........

...he!he!he! ngoja aje Masa boy, kama hujaomba msaada tutani.......!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom