Kukimbia v/s kutembea Kwa weight lose

Kukimbia v/s kutembea Kwa weight lose

Mie huwa natembea kutoka shekilango mpaka tegeta, ila changamoto ni kukatiza pale lugalo, maana panachanganya sana hasa nyakati za usiku.

Kuna maeneo kuna vibao vidogo vidogo vimeandika hairuhusiwi kupita hapa sasa huwa vinanipa mashaka kidogo maana ndugu zetu wale nao huwa hawaelewi bhana.

So wakati mwingine nikifika mwenge nakodi boda mpaka bondeni kawe kisha naendeleza zoezi langu.
 
Kukimbia ni kuzuri kunakuweka fit. Unakuwa mwepesi unakuwa na pumzi. Kutembea ni kuzuri zaidi kwa mtu mwenye lengo la kupunguza uzito au changamoto zinginezo kama uzito mkubwa, umri nk. Ukikimbia unatumia energy iliyopo mf chakula ulichokula lakini kutembea unatumia mafuta yaliyohifadhiwa kama chanzo cha nishati.
 
Achan na mambo ya kukimbia au kutembea . Ruka kamba Mia mbili asubuhi na jioni tulia.
 
Brisk walking is my favorite, ukiwa kuna hills kama vile udsm au beach mchangani una burn fat za kutosha. Ukiwa na treadmill kuna kitu kinaitwa "inclination" ina range kuanzia 1 to 15 ukiweza tembea incl 12 and above for 30 minutes , wewe ni mwamba
 
Back
Top Bottom