Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,245
- 2,128
Habari za muda wana jf.
Kwa wale wapenzi wa workouts, jogging, lifting weights, HIIT cardio na abs hapa ni jukwaa letu sahihi la kujadili ana na kubadilishana mawazo.
Kwenye platform mbalimbali za mitandao ya kijamii kumekuwa na mabishano makubwa sana miongoni mwa trainers! Na mabishano hayo ni healthy kwasababu yana lengo la kuleta matokeo Kwa wahitaji.
Kati ya kukimbia na kutembea lipi ni zoezi zuri na sahihi zaidi Kwa mtu anayetaka kupungua (weight lose).
Hapa Kuna wajuzi/trainers/gurus wa mazoezi ebu tupeni miongozo.