Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,959
- 3,986
Vipi kunya unawahi???
Vipi kunya unawahi???
Wadau Naombeni Mnisaidie Kwenye Msaada Wowote Juu Ya Tatizo Nililonalo La Kukawia Kufika Kileleni Wakati Wa Kufanya Mapenzi Maana Natumia Muda Mwingi Sana Hadi Inakuwa Kero, Nifanyeje Ili Niwe Nawahi
Msaada Wenu Tafadhali
Asante kwa ushaurWatu wakiambiwa wanawake hawahitaji kupigwa mambo mda mrefu wanaumia...
Wanawake wanahitaji romance kwa muda mrefuuu..
Aisee dawa jitahidi kula karanga,maparachichi,tende,ndizi,korosho n.k
Vyakula hivi vinaongeza hisia na msisimko na kuongeza idadi ya manii kitu ambacho kinaweza kukufanya ukojower mapema
Zaid ya 20dk znafaa kwa kahaba ila sio kwa manz,Mkuu ebu kuwa serious kidogo,yaani dk 20 ndio unakuja kufungua uzi hapa ,watu tunakwenda mpaka dk70 mkuu
Bora mwambie!Mkuu ebu kuwa serious kidogo,yaani dk 20 ndio unakuja kufungua uzi hapa ,watu tunakwenda mpaka dk70 mkuu